Miito ya Simu ya Kampuni | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Miito ya Simu ya Kampuni
Miito ya Simu ya Kampuni

Miito ya Simu ya Kampuni

Tilia msisitizo ujumbe au kauli mbiu ya chapa yako au hata kutangaza bidhaa zako kutumia Corporate Ring Back Tones (RBT)

Mahitaji Biashara yako inaweza kuwa nayo:

  • Kuwa na milio maalumu ya simu kwa mtu anayepiga kwenye namba za shirika
  • Kucheza RBTs kwenye siku au saa maalum
  • Kuitangaza chapa yako pamoja na taarifa za shirika lako 

Faida kwa Biashara yako:

  • Njia ya kipekee ya kuongeza masoko yako na kuweka misingi mizuri ya usawa ndani ya chapa yako, kwa kuwasilisha bidhaa/huduma na promosheni zenye kuongeza mauzo
  • Lipia gharama moja kutokana na namba zilizoungnishwa na RBT za Shirika

Faida za Bishaa: 

  • Promosheni ambazo zitakuwezesha kutumia RBT kama moja ya namna ya kujitangaza, kwani simu za mkononi zimeonyesha kuwa na nguvu kubwa katika urushaji wa matangazo
  • Kutumia mawasiliano kama njia mpya ya kufanya matangazo
  • Unafuu wa gharama kwani utalipa bei moja kutokana na namba zilizounganishwa na huduma hii

 

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo