Namba za Bure za Huduma kwa Wateja | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Namba za Bure za Huduma kwa Wateja
Namba za Bure za Huduma kwa Wateja

Namba za Bure za Huduma kwa Wateja

Ongeza mauzo huku ukizidi kuwaridhisha wateja wako kupitia number za huduma kwa wateja bila makato yoyote

Mahitaji biashara yako inaweza kuwa nayo: 

  • Kuhudumia wateja kitaalam zaidi kupitia number ya huduma kwa wateja isiyo na makato yoyote
  • Kuwadhihirishia wateja wako kuwa kampuni yako ina…
  • Namna ya kuboresha taswira ya kampuni yako, huduma kwa wateja, pamoja na kuongeza ufanisi kwenye masoko na matangazo kwa gharama nafuu zaidi

Faida kwa Biashara yako: 

  • Hakuna gharama za kuanzia au vifaa vya ufundi katika kuweka Toll Free 
  • Ni rahisi kuweka kutokana na huduma ya Toll Free kuunganishwa kupitia line za simu zilizoko tayari.

 

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo