Name Tune Service | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Name Tune Service

Kuhusu Name Tune Service:

Huduma inayo muwezesha mteja kuweka jina lake katika Muito wa Simu. Huduma hii hupatikana kupitia Menu yetu ya USSD.

Jinsi ya Kujiunga na huduma ya Name tune USSD:

Kupitia Menyu ya *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua 2 burudani kisha chagua 7 miito maalum kisha chagua 1 Name tune (kuweka Jina lako kama muito).

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Name tune USSD:

Piga *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua 2 kisha chagua 9 chagua Kujitoa.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Name Tune USSD ni huduma gani?

Huduma ya kuweka jina lako kama muito kwa mpigaji. Huduma hii inawawezesha wanaokupigia kuthibitisha na kuwa na uhakika kwamba kwa kweli wewe ni mhusika ambaye wamelenga kumpigia .

  Ni jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Name Tune?

Kupitia Menyu ya *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua 2  burudani kisha chagua 7 miito maalumkisha chagua 1 Name tune  (kuweka Jina lako kama muito).

  Ni jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Name Tune? 

Piga *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua 2 kisha chagua 9 chagua Kujitoa

  Zipi gharama za huduma

Gharama kwa huduma hii ni Tsh50 kwa Wimbo and Tsh150 huduma kwa Wiki.

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

1. Huduma hii ni kwa wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla

2. Huduma hii inapatikana katika USSD pekee

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo