Nunua na Kulipa na Tigo Pesa | Tigo Tanzania

 Nunua na Kulipa na Tigo Pesa

Punguza usumbufu wa kubeba pesa na chenji kamili pale unaponunua na kulipa na Tigo Pesa. Tigo Pesa inakubalika na wafanya biashara zaidi ya 70,000 nchini Tanzania. Tafuta bango la "Lipa na Tigo Pesa" unapokwenda. Kama mfanya biashara wako unaempenda hatumii Tigo pesa na ungependelea yeye atumie, unaweza kumpendekeza kwa kutumia fomu ya apo chini. Sisi tutamfuatili na kuwajulisha jinsi ya rahisisha maisha yao.

Jinsi ya Kumlipa MfanyaBiashara kwa Tigo Pesa

1.       Piga *150*01#

2.       Chagua “1” kutuma pesa, na kutuma pesa, alafu

3.       Chagua “1” kutuma kwa Mfanyabiashara wa Tigo, aur “3” kutuma kwa mfanyabiashara wa MPesa, Airtel Money au EzyPesa

Pata App ya Tigo Pesa ufanye miamala ya Tigo Pesa kwa urahisi, upesi na kuaminika zaidi.

Pendekeza Mfanyabiashara

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo