Ofa kwa Wateja Wapya | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Ofa kwa Wateja Wapya

Ofa kwa Wateja Wapya:

Ofa hizi ni maalum kwa ajili ya wateja wapya wanaojiunga na mtandao wa Tigo. Ofa hizi hutolewa baada ya mteja kukamilisha usajili wa laini.  

 

Ofa zilizopo kwa Wateja wapya:

 1. Ofa ya BURE:
  • Ofa hii hutolewa kwa mteja mara tu anapokamilisha usajili wa laini na baada ya kuongeza muda wa maongezi. Ili kupata ofa hii kiasi cha muda wa maongezi mteja anachotakiwa kweka ni kuanzia Tsh500 au zaidi.
  • Ofa hii inatoa Dk20 Mitandao yote, MB150 na SMS500 kwa Siku 7.
 2. Ofa za Saizi Yako kwa wateja wapya:

  Hizi ni ofa zinazopatikana kwa wateja wa wapya wa Tigo kupitia Saizi Yako katika Menyu ya *147*00#.

  Jinsi ya kujiunga na Ofa za Saizi Yako kwa wateja wapya:

  Piga *147*00# chagua Saizi Yako kisha chagua kifurushi ukipendacho kisha chagua njia ya malipo (kwa Salio kuu au salio la Tigo Pesa) kisha thibitisha kununua.

Welcome pack Saizi Yako Offers:                                                             

Bei ya kifurushi

 

Dakika kwa Mitandao yote

Intaneti

 

SMS

 

Muda wa kifurushi

 

1500

150

1

100

Siku 7

2000

250

1.3

100

Siku 7

*Ofa hizi za Saizi Yako zinapatikana kwa mteja kwa muda wa siku 90 baada ya usajili.

 

 1. Ofa za Tigo Pesa kwa Wateja wapya:

  Mteja mpya anaweza kutuma pesa BURE kutoka Tigo Pesa kwenda namba ya Tigo. Kupata ofa hii mteja anatakiwa kutuma pesa kupitia *150*01# au kupitia App ya Tigo Pesa. Ofa hii zinapatikana kwa mteja kwa muda wa siku 60 baada ya kujiunga.

                                               

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo