Ofa ya Ramadhani 2019 | Tigo Tanzania

 Ofa ya Ramadhani 2019

Tigo Islamic Madrasa ni huduma yenye maudhui maalum ya kiislamu kupitia simu yako ya mkononi yenye sifa, kuthibitishwa na kuaminika kupitia Ujumbe wa mfupi(SMS) na sauti.

Huduma hii ina maudhui yatakuongoza na utapokea kila siku katika kipindi hiki cha Ramadhan

 

Jinsi ya kujiunga:

  • Piga 0901655555
  • Tuma neno MADRASA kwenda 15323
  • Kupokea ujumbe wa sauti, utakao mwambia mteja Bonyeza 1 kujiunga

 Gharama:

 BURE siku 3 kwa njia zote za sauti na SMS

 Baada ya siku 3 BURE kuisha yafuatayo yatafwata:

  • SMS 1 BURE ya ratiba sala na Iftari
  • Kusikiliza 0901655555 utakatwa Tsh.99 kwa siku

Jinsi kujitoa:

  • Piga 0901655555 kisha fuata maelekezo
  • Tuma neno ONDOA MADRASA kwenda 15323

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo