Unapakua sinema ngapi kwa mwezi? Unapakuwa application na gemu ngapi kwa mwezi? Unatumia masaa mangapi kwa siku kusikiliza miziki mtandaoni kwa siku? Unatumia masaa mangapi kuangalia video mtandaoni kwa siku? Unatumia masaa mangapi kuperuzi mtandao kwa siku? Unapakia picha ngapi kwenye mitandao ya kijamii kwa siku? Unapokea barua pepe ngapi zisizokuwa na viambatanishi kwa siku? Unapokeea barua pepe ngapi zenye viambatanishi kwa siku? Kupakua
Kuangalia video na kusikiliza muziki
(Kujumlisha kupiga simu ya kawaida Skype / Facetime nk)
(Kumjumlisha Youtube, video Skype / Facetime nk
Kuperuzi Mtandao na Mitandao ya Kijamii
Kutuma barua pepe