Religious Portal | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Religious Portal

Kuhusu Religious Portal:

Religious Portal nu huduma inayomuwezesha mteja kupata habari na taarifa za dini aipendayo kwa njia ya sauti. Mteja anaweza kujiunga na huduma hii na kuchagua Uislamu au Ukristo.

Jinsi ya Kujiunga huduma ya Religious Portal:

Piga 0901656667 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kujuinga.

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Religious Portal: 

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 0901656667.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Religious Portal ni huduma gani?

Religious Portal nu huduma inayomuwezesha mteja kupata habari na taarifa za dini aipendayo kwa njia ya sauti. Mteja anaweza kujiunga na huduma hii na kuchagua Uislamu au Ukristo

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Religious Portal?

Piga 0901 656667 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kujuinga.

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Religious Portal?

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 0901656667

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

Huduma hii ni kwa ajili ya wateja wa Tigo wa malipo ya awali tu

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii ina gharama ya Tsh 99 kwa siku

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo