Samsung Galaxy S10 | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Samsung Galaxy S10

Samsung Galaxy S10 | S10e na S10+ sasa inapatikana kupitia Tigo pekeeĀ 

SAMSUNG Galaxy S10 ni nini?

Simu janja kutoka SAMSUNG yenye teknolojia mpya na uwezo iliyorahisishwa kwa mwaka 2019.

Ni simu yenye sifa za kipekee kama uwezo wa kuchaji simu zingine, uwezo wa kufungua simu kwa kidole na kamera yenye uwezo wa hali ya juu. Pia ina uwezo wa 4G na utapata GB96 BURE na za uhakika mwaka mzima kutoka Tigo.

Faida ya ziada:

Pia utapata waranti ya miezi 13 baada ya kununua kwenye maduka yote ya SAMSUNG nchi nzima.

Wapi naweza kuipata SAMSUNG Galaxy S10?

  • Maduka yote ya Tigo nchi nzima,
  • Maduka yote yanayouza simu nchi nzima,
  • Duka la simu (*147*00#),

Nawezaje kulipia?

  • Pesa taslimu kwenye Duka la Tigo,
  • Tigo Pesa,
  • Menyu ya Lipa Kidogo Kidogo (*147*00#).Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo