Samsung Galaxy S20 | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Samsung Galaxy S20

Kuwa wa kwanza kumiliki SAMSUNG Galaxy S20 ukiwa na Tigo upate faida nyingi kufururahia mtandao wa 4G+ ulioenea nchi nzima.

Ofa kutoka Tigo:

 1. Pata GB78 BURE za intaneti kwa mwaka mzima mteja akinunua kwenye maduka ya Tigo. Timu ya mauzo watamuwekea ofa mteja kwenye duka la Tigo.
 2. Pata GB18 BURE za intaneti kwa miezi 6 mteja akinunua kwenye maduka mengine. tuma neno “BURE kwenda 15166” kupata ofa yako.
 3. Ongeza salio kwanzia sh. 1000 na kuendelea kupata ofa yako mwezi unaofuata.

Wapi naweza kuipata SAMSUNG Galaxy S20?

 1. Maduka yote ya Tigo nchi nzima,
 2. Maduka yote yanayouza simu nchi nzima,
 3. Duka la simu (*147*00#).


Bei kwenye maduka ya Tigo:

KAMPUNI

AINA

BEI (TZS)

OFA

SAMSUNG

   Galaxy S20

                     2,235,000

GB78 BURE za intaneti kwa Mwaka Mzima

SAMSUNG

   Galaxy S20 Plus

                     2,480,000

SAMSUNG

   Galaxy S20 Ultra

                     3,100,000

FAQs:

  SAMSUNG Galaxy S20 ni nini?

Simu janja kutoka SAMSUNG yenye teknolojia mpya na uwezo iliyorahisishwa kwa mwaka 2020.

  Kwanini ninunue SAMSUNG Galaxy S10?

Ni simu yenye sifa za kipekee kama uwezo wa kuchaji simu zingine, uwezo wa kufungua simu kwa kidole na kamera yenye uwezo wa hali ya juu. Pia ina uwezo wa 4G na utapata GB96 BURE na za uhakika mwaka mzima kutoka Tigo.

Faida ya ziada:

Pia utapata waranti ya miezi 13 baada ya kununua kwenye maduka yote ya SAMSUNG nchi nzima.

  Kama mimi sio mteja wa Tigo?

Tunakupatia laini mpya yenye uwezo wa 4G katika mtandao wa Tigo. Hamia Tigo na utaendelea kutumia namba yako hiyo hiyo kwa mtandao wa Tigo.

  Naweza kutumia laini ya mtandao wowote?

Ndio, Unaweza ukaweka mtandao wowote ila ili uweze kupata intaneti bure kutoka Tigo ni lazima uweke laini ya Tigo.

Gallaxy S20

Display :
 • 6.2” Quad HD+ Dynamic AMOLED 2X
 • Infinity-O Display (3200x1440)
 • 563 ppi
 • HDR10+ certified
 • 120Hz refresh rate support
Memory :
 • 12GB RAM
 • 128GB ROM
Camera :
 • 10MP Selfie Camera
 • 12MP Ultra Wide Camera
 • 12MP Wide-angle Camera
 • 64MP Telephoto Camera
 • Hybrid Optic Zoom 3x
 • Super Resolution Zoom up to 30x
Battery :
 • 4000mAh (typical)
Weight :
 • 163g
SIM Card :
 • Single SIM model
OS :
 • Android 10


Gallaxy S20+

Display :
 • 6.7” Quad HD+ Dynamic AMOLED 2X
 • Infinity-O Display (3200x1440)
 • 525 ppi
 • HDR10+ certified
 • 120Hz refresh rate support
Memory :
 • 12GB RAM
 • 128GB ROM
Camera :
 • 10MP Selfie Camera
 • 12MP Ultra Wide Camera
 • 12MP Wide-angle Camera
 • 64MP Telephoto Camera
 • Hybrid Optic Zoom 3x
 • Super Resolution Zoom up to 30x
Battery :
 • 4500mAh (typical)
Weight :
 • 186g
SIM Card :
 • Single SIM model
OS :
 • Android 10


Gallaxy S20 Ultra

Display :
 • 6.9” Quad HD+ Dynamic AMOLED 2X
 • Infinity-O Display (3200x1440)
 • 511 ppi
 • HDR10+ certified
 • 120Hz refresh rate support
Memory :
 • 16GB RAM
 • 128GB ROM
Camera :
 • 40MP Selfie Camera
 • 12MP Ultra Wide Camera
 • 108MP Wide-angle Camera
 • 48MP Telephoto Camera
 • Hybrid Optic Zoom 10x
 • Super Resolution Zoom up to 100x
Battery :
 • 5000mAh (typical)
Weight :
 • 220g
SIM Card :
 • Single SIM model
OS :
 • Android 10Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo