Samsung Galaxy S9 | Tigo Tanzania

 Samsung Galaxy S9

Unaweza kujipatia simu janja aina ya Galaxy S9+ kwa bei ya Tsh 2,315,000 na Galaxy S9 kwa Tsh 2,049,000 sasa kwenye maduka yote ya Tigo. Hizi simu zinakuja na ofa ya intaneti Bure ya GB 3 kila mwezi kwa miezi 6.

Ofa ukinunua kwenye maduka ya Tigo

  • Galaxy S9 - TZS 2,049,000
  • Bei S9+ - TZS 2,315,000 
  • GB 3 za intaneti Bure kila mwezi kwa miezi 6
  • Waranti ya miezi 24

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo