siku14-ofa1 | Tigo Tanzania

 siku14-ofa1

Tunakushukuru kwa kuwa mteja wetu pendwa wa Tigo. Kuonesha shukrani za dhati kwako, tungependa kukuzawadia bonus pale ambapo utanunua bando la Tigo leo. Hii ofa ni maalum kwako kwahiyo usipitwe.

BONASI YAKO

Furahia dakika 10 Tigo kwenda Tigo pamoja na SMS 2000 na MB50  bure pale unaponunua bando lolote.

Vigezo na Masharti

  • Bonasi zote ni kwa masaa 24 tu
  • Mteja anaruhusiwa bonasi moja kwa siku.
  • Ofa ni mpaka Septemba 8, 2017

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo