Tigo kwenda Tigo | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..


Vifurushi vya SMS


Vifurushi vya SMS

Vifurushi Vya Siku

Bei Dakika ( Mitandao Yote) SMS Muda wa kudumu Kitendo
TZS 500 0 300 MASAA 24  Nunua Sasa

 

Vifurushi Vya Wiki

Bei Dakika ( Mitandao Yote) SMS Muda Wa Kudumu Kitendo
TZS 1,000 0 1000 SIKU 7  Nunua Sasa

 

Vifurushi Vya Mwezi

Bei Dakika ( Mitandao Yote) SMS Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 1,500 0 1000 SIKU 30  Nunua Sasa
TZS 2,000 0 3000 SIKU 30  Nunua Sasa

 

All rates are tax inclusive.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya SMS

 • 1 Ustahiki:
  • Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya SMS
  • Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
 • 2Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

  Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

 • 3 Kumnunulia rafiki:

  Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha SMS wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

 • 4 Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

  Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

 • 5 Njia za Malipo:

  Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
  Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

 • 6 Muda wa Kifurushi:

  Kila kifurushi cha SMS kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

 • 7 Kubeba salio la Kifurushi:

  Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia.

 • 8 Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi:

  Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua SMS → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
  Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
  Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
  Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

 • 9 Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya SMS:

  Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

 • 10 Matumizi ya salio la vifurushi vya SMS ndani na Nje ya Mtandao:

  Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha SMS ndani ya mtandao au mitandao mingine Tanzania

 • 12 Matumizi ya Salio la vifurushi vya SMS kwa ajili ya Roaming au huduma za SMS za Kimataifa:

  Vifurushi vya SMS hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao na mitandao mingine ndani ya Tanzania na si kwa matumizi ya Roaming au SMS za Kimataifa

 • 11 Matumizi ya huduma nyingine:

  Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya SMS.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya SMS

  Je, ni vegezo gani vya kuniwezesha kununua vifurushi vya Tigo?

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya SMS
- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha SMS wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha SMS kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Hapana, Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Huduma hii itazinduliwa hivi karibuni, wateja watataarifiwa

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi?

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua SMS → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Ni kwa jinsi gani naweza kuangalia salio la vifurushi vya SMS?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, naweza kutumia salio la SMS kwa ajili ya huduma za ndani na nje ya Mtandao?

Ndio, Salio la Vifurushi vya SMS hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao wa Tigo na Mitandao Mingine nchini

  Je, naweza kutumia salio la SMS kwa ajili ya huduma za Roaming and SMS za Kimataifa?

Hapana, Salio la Vifurushi vya SMS hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao wa Tigo na Mitandao Mingine nchini na si kwa matumizi ya Roaming wala SMS za Kimataifa

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Ndio, Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

 
 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo