SMS za Wingi | Tigo Tanzania

SMS za Wingi

SMS za Wingi

Wasiliana na wateja wako kwa kasi, ufanisi na kwa bei nafuu

Biashara yako inaweza ikawa na mahitaji yafuatayo;

  • Kufanya promosheni
  • Kutuma kumbukumbu kwa wateja
  • Njia rahisi ya kutuma meseji kwa wateja wako kwa kutumia namba ya kipekee

Manufaa kwa biashara yako;

  • Utaweza kutuma meseji moja kwa moja kwa urahisi kupitia mfumo wetu ulio salama na uwakika
  • Ni rahisi kutumia mfumo wa meseji za wingi kupitia tovuti yetu na ivyo kukusaidia kutuma meseji kirahisi hata ukiwa ofisini kwako

Manufaa ya huduma;

  • Bei nafuu na uwezo wa kuchagua njia tofauti kulingana na wingi wa meseji
  • Uhakika wa meseji zote kupokelewa papo kwa papo

Jaza fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Wasiliana Nasi

Simu

Simu

Namba ya Simu: +255 713 800 012

Huduma kwa Wateja: 100

 

Mahali

Mahali

MIC Tanzania Limited,

DERM COMPLEX, New Bagamoyo Rd,

P.O. Box 2929, Dar es Salaam, Tanzania.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo