Social Packs | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Social Packs

Furahia maisha ya kidigitali na Tigo kwa kuchat na kutumiana picha na video kwa ndugu, jamaa na marafiki zako waliopo Whatsapp,Facebook,Instagram na Twitter kuanzia tshs 1500 tu kwa masaa 24.

 Kifurushi  Bei (TZS)  Ujazo wa Data (MB)  Muda Kitendo
Social Siku  1,500  500  Masaa 24 Nunua
Social Wiki  3,000  1536  Siku 7  Nunua
Social Mwezi  8,000  5120  Siku 30 Nunua

Jinsi ya kununua kifurushi

  • Piga *148*00#
  • Chagua 5. Vifurushi vya internet
  • chagua 4 . Social Packs

Kuangalia salio lako : Piga *102*02#

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo