Social Xpress | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Social Xpress

Kuhusu Social Xpress:

Ni huduma inayokupa mkusanyiko wa habari za kijamii pamoja na kukuwezesha kuchati na marafiki kwa ujumbe mfupi wa maneno. Pia unaweza kupata nyongeza ya vitu kama habari za watu mashuhuri, wikipedia na kadhalika. Huduma hii inapatikana kwenye ukurasa wa ttz.chatezee.com.

Jinisi ya Kujiunga na Social Xpress:

  1. Kupitia Menyu ya *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua huduma ya Social Xpress.
  2. Fuata tovuti hii (ttz.chatezee.com)

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Social Xpress:

  1. Piga *147*00# kisha chagua Social Xpress na nenda kwenye mpangilio wa simu (settings) na chagua Kujitoa.
  2. Fuata tovuti hii (ttz.chatezee.com) kisha chagua Akaunti yangu na chagua kujitoa.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Social Xpress ni huduma gani?

Ni huduma inayokupa mkusanyiko wa habari za kijamii pamoja na kukuwezesha kuchati na marafiki kwa ujumbe mfupi wa maneno. Pia unaweza kupata nyongeza ya vitu kama habari za watu mashuhuri, wikipedia na kadhalika. Huduma hii inapatikana kwenye ukurasa wa ttz.chatezee.com

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Social Xpress?

1.Kupitia Menyu ya *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua huduma ya Social Xpress.

2. Fuata tovuti hii (ttz.chatezee.com)

3. Gharama za huduma ni Tsh 99 kwa siku

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Social Xpress? 

1. Piga *147*00# kisha chagua Social Xpress na nenda kwenye mpangilio (setting) na chagua Kujitoa

2. Fuata tovuti hii (ttz.chatezee.com) kisha chagua Akaunti yangu na chagua kujitoa

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

1. Huduma hii ni kwa wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla

2. Huduma hii inapatikana katika USSD na katika ukurasa ttz.chatezee.com

  Zipi gharama za huduma hii?

1. Gharama za intanenti hazitotumika mteja atakapotumia huduma kupitia USSD. Pia hufanya kazi hata mteja anapokuwa roaming

2. Gharama za intanenti zitatumika mteja atakapotemebelea ukurasa wa Social Xpress

3. Gharama za huduma ni Tsh 99 kwa siku

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo