Soka La Africa | Tigo Tanzania

 Soka La Africa

SOKA LA AFRIKA ni huduma inayompa mteja wa Tigo nafasi ya kushinda SAFARI ya kwenda nchini Misri kushuhudia moja ya mechi za Mataifa ya Afrika (AFCON) na nafasi ya kushinda fedha taslim Tsh 10,000,000 (MILIONI KUMI) kila mwezi. Mteja anaweza kushinda zawadi hizi baada ya kujibu maswali ya mpira yatakayompa point nyingi kushinda wateja wengine hivyo kuibuka na ushindi.

Jinsi ya Kujiunga/ Kushinriki.

 1. Mteja anatuma neno SOKA kwenda 15670
 2. Mteja atapokea ujumbe (SMS) ya kuwa amejiunga na huduma
 3. Mteja atapokea swali la kwanza la mpira
 4. Kila swali akijibu kwa usahihi atapata point 100 na akikosa atapata point 25
 5. Mteja atapokea swali linalofuata endapo atakuwa na salio la kutosha kupokea swali ambayo ni Tsh 99 kwa kila swali.
 6. Mteja anaweza kujibu maswali mengi kadri ya uwezo wake.

Zawadi Katika Kampeni ya “ SOKA LA AFRIKA”

 1. Kila siku Tsh 100,000
 2. Kila wiki Tsh 1,000,000
 3. Kila mwezi ni Tsh 10,000,000
 4. Nafasi ya Kusafiri kwenda MISRI
 5. Jezi rasmi ya timu ya Taifa (Taifa Stars)

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo