Soka Trivia | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Soka Trivia

SOKA TRIVIA

SOKA ni mchezo wa maswali na majibu wenye nia ya kuzawadia wateja wa Tigo na Zawadi kabambe. Kampeni hii ina lengo la kuongeza ufahamu wa ujumla kwa yaliyomo kwenye SOKA

Mteja atakaribishwa kwenye huduma  kupitia SMS, kwa njia ya kiditali au USSD, na kwa kila swali atakalo jibu atazawadiwa POINTI. Kadiri ynavyojibu maswali unajiongezea POINTI ZA USHINDI WA ZAWADI.


Jinsi ya Kujiunga:

Kujiunga kwenye huduma itakua kupitia chaneli zifuatazo

Portal- Tembelea www.tigosports.co.tz

SMS- Tuma neno SOKA kwenda15670

Au *147*00# & *148*00# chagua SOKA

SMS itatumwa kwa mteja kumkaribisha kwenye huduma, kila sms atakayo jibu mteja itachajiwa Tshs 99 na kwa kila jibu sahihi ajipatia POINTI 100 na jibu lisilo sahihi atajipatia pointi 25


Zawadi Katika Kampeni ya “ SOKA TRIVIA:

  1. Tsh 1,000,000 kila mwezi

  2. Tsh 500,000 kila wiki

  3. Tsh 100,000 kila siku

  4. Tshs 12,000,000 zawadi ya mwisho wa msimu


Vigezo na Masharti vya Soka Trivia

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo