Sportsmoby | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Sportsmoby

Kuhusu Sportsmoby:

Sportsmoby ni huduma inayowapa wapenzi wote wa soka kupata habari za michezo kwa wakati yanapotokea tu. Inatoa habari zote za michezo inayoendelea ikiwemo taarifa za wachezaji kama Kadi za Njano, mida ya mapumziko na taarifa za magoli mara tu yanapotokea.

Jinsi ya Kujiunga na Sportsmoby:

Tembelea ttz.sportsmoby.com

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Sports moby:

kujitoa kwenye huduma tembelea ttz.sportsmoby.com na chagua akaunti yako kisha kujitoa.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Sportsmoby ni huduma gani?

Sportsmoby ni huduma inayowapa wapenzi wote wa soka kupata habari za michezo kwa wakati yanapotokea tu. Inatoa habari zote za michezo inayoendelea ikiwemo taarifa za wachezaki kama Kadi za Njano, mida ya mapumzika na taarifa za magoli

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Sportsmoby?

Tembelew ttz.sportsmoby.com

  Jinsi gani naweza kujitoa katika huduma ya Sportsmoby?

kujitoa kwenye huduma tembelea ttz.sportsmoby.com na chagua akaunti yako kisha kujitoa

  Vigezo gani vya kuniwezesha kupata huduma?

1.Huduma hii inapatikana kwa wateja wa Tigo wa malipo ya kabla

2.Gharama za intaneti kwa mtandao wa intaneti zitatumika kwa mteja 

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii inatoza Tsh 150 kwa siku, Tsh 500 kwa wiki na Tsh 1000 kwa mwezi

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo