Stream Video | Tigo Tanzania

youtube Stream Video

Furahia kuangalia video za Youtube – siku nzima – kwa malipo ya intaneti ya chini kutoka Tigo. Tazama video zako za muziki uzipendazo, trailer za muvi, sehemu za video na kila kitu kingine ambacho Youtube kitakupa.

Maelezo kuhusu Ofa:

  • Ni kwa masaa 24 baada ya kujiunga na kifurushi hiki.
  • Ofa ni kwa wateja wa Tigo wa malipo ya kabla tu
  • Kujiunga piga *148*00# na chagua 5 Vifurushi vya Intaneti na kisha chagua kifurushi cha video
  • Kifurushi kipo cha kipo GB 1.5 kwa TZS 1,000/- kwa siku
  • Hakuna malipo kutoka salio lako la intaneti

Ninahitaji nini kufurahia hii ofa?

Unahitaji kua mteja wa tigo wa malipo ya kabla mwenye simu inayoshika intaneti pamoja na kifurushi cha intaneti. Kujiunga unaenda *148*00#

Kama sio mteja wa Tigo utahitaji kununua laini ya Tigo leo kufurahia hii ofa.

Naweza kufurahia hii ofa mchana?

Hii ofa ni kwa masaa 24 baada ya kujiunga na kifurushi hiki. Ukitazama video baada ya kufurushi hiki kuisha muda wake utakatwa kiwango cha intaneti ya kawaida.

Furahia kuangalia video bila intaneti

Pamoja na ofa hii ya kuperuzi Youtube siku nzima, YouTube ina kipengele cha kuhifadhi video kwenye simu yako mpaka masaa 48 na kuziangalia wakati wowote ata kama mtandao wa intaneti haupatikani. Bofya alama ya kuangalia video bila intaneti katika video unayoiangalia.

Tigo inafurahia kujumuisha mhusika wa tatu wanaotumia huduma za video kwenye ofa hii, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona..

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo