Tigo App | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo App

Tigo App ni njia rahisi ya kununua vifurushi vya data na dakika na pia husaidia kufatilia matumizi na kupata salio la dakika,sms na data, Huonesha ni kiasi gani cha data, dakika na sms zimebaki kwenye kifurushi chako.

Inapatikana kwenye mifumo ya Android(OS toleo 4.1 na matoleo ya kisasa) na Apple (IOS 7 na matoleo ya kisasa)

Uwezo wake wa utendaji kwenye vifaa vya Tablet ni Mdogo.

 

Vipengele

  • Nunua bidhaa
  • Angalia Salio

Mahitaji

  • Simu ya Android au IOS
  • Laini ya Tigo inayofanya kazi wakati wa kusajili Tigo App

Pakua App ya Tigo sasa!

Matumizi kwa Tablet yanapingamizi

Vigezo na Masharti

 

Maswali yanayoulizwa kuhusu Tigo App

  Je Kuna gharama nikiwa natumia Tigo App?

Hapana. Hakuna gharama unayotumia ukiwa unatumia Tigo App pia hakuna matumizi ya data kama ukiwa unatumia data ya mtandao wa Tigo. Gharama za data zitakuwepo pindi tu matumizi ya huduma hii ya Tigo App itafanyika nje ya Tanzania.

  Simu yangu inatumia laini mbili, Je Tigo App itafanya kazi?

Ndio. Hakikisha unazima Wi-Fi na kutumia data kutoka mtandao wa tigo ukiwa unaanzisha na kutumia Tigo App.

Video ya Namna ya Kutumia Tigo App

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo