Tigo Beatz | Tigo Tanzania

 Tigo Beatz

Jiachie na Tigo Mdundo! Binafsisha mlio wakupigiwa simu kila ukipigiwa. Msikilizishe aliyekupigia simu nyimbo kali badala ya mlio wa kawaida usio na mvuto. Chagua kati ya zaidi ya milio mia ndani ya Tigo Beatz.

Njia ya kupata Tigo Beatz; 

1.       IVR – kwa kupiga 15050 au 15007 na kusikiliza kununua na kupanga nyimbo zako.

2.       Tuma herufi kwenda 15050, Mfano Tuma: CW kwenda 15050

Gharama zinazojumuisha na VAT – Tigo Beatz

1.       Hamna gharama za siku za Tigo Beatz.

2.       Kupiga simu kwa IVR kupitia 15050 au 15007 ni Tshs 50 kwa muda wa dakika 5.

3.        Gharama ya mlio ni Tshs 50 kwa wimbo na Tsh 150 kwa wiki kama gharama ya huduma.

Kujiondoa kwenye Tigo Beatz

1.       Tuma SMS yenye neno “ONDOA” au “STOP” kwenda 15007 au 15050, au

2.       Piga 15007 au 15050 ufuate maelekezo ya kujiondoa.

 

Tigo Beatz - Top 10


1

Msanii: Shetta

Nyimbo: Wale Wale

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: ZW

2

Msanii: Matonya

Nyimbo: Nyumba Ndogo (Nachelewa)

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: FL

3

Msanii: Vanessa Mdee

Nyimbo: Kisela

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: CK

4

Msanii: Tekno

Nyimbo: Yawa

Mahadhi: Nigeria

Kificho cha Nyimbo: FG

5

Msanii: Timbulo

Nyimbo: Mshumaa

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: TZ

6

Msanii: Barnaba

Nyimbo: Tunafanana

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: AH

7

Msanii: Angel Bernard

Nyimbo: Siteketei

Mahadhi: Gospel

Kificho cha Nyimbo: EY

8

Msanii: Saida Karoli

Nyimbo: Orugambo

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: RB

9

Msanii: Nandy

Nyimbo: Wasikudanganye

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: SP

10

Msanii: Ditto

Nyimbo: Atabadilika

Mahadhi: Bongo Flava

Kificho cha Nyimbo: SU

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo