Tigo BOOM | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo BOOM

Kuhusu Tigo BOOM:

Tigo BOOM ni Kampeni mpya inayowalenga vijana waliojiunga na mtandao wa Tigo nchini Tanzania. Kampeni hii inalenga vijana wenye umri usiozidi miaka 24 ikiwa ni pamoja na wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu, vijana wanaojua kusoma na kuandika walioajiriwa au kujiajiri au ambao bado wanatafuta ajira na waliojiunga na mtandao wa Tigo.

Kupitia Kampeni hii, wateja watafurahia:

 1. Vifurushi maalum vya Tigo BOOM.
 2. Kutuma Pesa BURE kwa Tigo Pesa kwenda kwa wateja wa Tigo. Ofa hii inadumu katika kipindi cha siku 60 baada ya kujiunga.
 3. Zawadi za Pesa taslimu baada ya kufanya miamala ya kuhamisha pesa kutoka Benki benki yeyote ile Tanzania kwenda katika akaunti ya mteja ya Tigo Pesa (Mara moja kwa Siku).

Upatikanaji na Muda wa ofa:

 • Ofa za Tigo BOOM zinapatika kwa wateja walengwa kuanzia 16 Julai, 2020.
 • Ofa hizi ni za msimu na huweza kubadilika wakati wowote inapohitajika. Taarifa kwa wateja itatolewa ikiwa kutakuwa na mabadiliko katika ofa hizo kupita Meseji na katika tovuti ya Tigo

Vifurushi vya Tigo BOOM:

Hivi ni vifurushi maalum vilivyotengenezwa kukidhi mahitaji ya mawasiliano kwa vijana wenye umri chini ya miaka 24, ikiwa ni pamoja na wanafunzi wa chuo, vijana wanaojua kusoma na kuandika, walioajiriwa au kujiajiri au ambao bado wanatafuta ajira na waliojiunga na mtandao wa Tigo.

Vifurushi hivi vimetengenezwa kukidhi mahitaji yao yote ya mawasiliano na kidigitali katika viwango vya bei nafuu.

Jinsi ya kujiunga na vifurushi vya Tigo BOOM:

Piga *147*00# → Chagua SAIZI YAKO → Kisha Chagua kifurushi cha BOOM kinachoendana na mahitaji yako.

Ofa za Tigo Pesa:

Ukijiunga kifurushi chochote cha Tigo BOOM utaweza kutuma pesa BURE kwenda Tigo Pesa na pia unaweza kupokea hadi Tsh10,000 BURE kila siku uwekapo kiasi cha kuanzia Tsh200,000 na kuendelea kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa kutoka benki yeyote ile Tanzania.

Kumbuka:

 1. Mteja anatakiwa kujiunga na ofa hii kwa kupiga *150*01# kisha chagua 9 kujiunga.
 2. Ofa kutuma pesa BURE inapatikana kwa wateja wa Tigo wapya tu.

Vigezo na Masharti ya Tigo BOOM

Ustahiki:

 • Ofa za Tigo BOOM ni mahususi kwa wateja wa Tigo ambao ni vijana wenye umri usiozidi miaka 24 nchini Tanzania
 • Ofa za Tigo BOOM ni mahususi kwa wateja wa Tigo wa malipo ya kabla tu
 • Ofa hizi mpya za Tigo BOOM zitapatikana kwa wateja wote wapya na wa zamani wenye umri usioidi miaka 24.

Upatikanaji na Muda wa ofa:

 • Ofa za Tigo BOOM zinapatika kwa wateja walengwa kuanzia 16 Julai, 2020.
 • Ofa hizi ni za msimu na huweza kubadilika wakati wowote inapohitajika. Taarifa kwa wateja itatolewa ikiwa kutakuwa na mabadiliko katika ofa hizo kupita ujumbe mfupi wa maneno yaani SMS na katika tovuti ya Tigo
 • Ofa za Tigo BOOM zilizopo:
  1. Vifurushi maalum vya Tigo BOOM
  2. Kutuma Pesa BURE kwa Tigo Pesa kwenda kwa wateja wa Tigo. Ofa hii inadumu katika kipindi cha siku 60 baada ya kujiunga.
  3. Zawadi za Pesa taslimu baada ya kufanya miamala ya kuhamisha pesa kutoka Benki yeyote ile Tanzania kwenda katika akaunti ya mteja ya Tigo Pesa (Mara moja kwa Siku). Mteja anaweza kupokea hadi Tsh10,000 BURE kila siku anapoweka kiasi cha kuanzia Tsh200,000 na kuendelea kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa

*Kumbuka: Mteja anatakiwa kujiunga na ofa hii kwa kupiga *150*01# kisha chagua 9 kujiunga. Ofa hii inapatikana kwa wateja wampya wa Tigo tu. Ofa ya kutuma pesa bure ni kwa Wateja wapya tu.

Jinsi ya kujiunga na Vifurushi vya Tigo BOOM:

Mteja anatakiwa kupiga *147*00# → Chagua SAIZI YAKO → Kisha Chagua kifurushi cha BOOM kinachoendana na mahitaji yako

Njia za Malipo kwa Vifurushi vya Tigo BOOM:

Kuna njia mbili za malipo ambazo mteja anaweza kuchagua kutumia wakati wa kununua vifurushi.

 1. Salio kuu la muda wa mongezi
 2. kupitia Tigo Pesa.

Njia hizi hupatiwa mteja pindi anaponunua kifurushi

Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

Kumnunulia rafiki:

Mteja hawezi kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Tigo BOOM. Kupitia menyu yetu ya *147*00# mteja anaweza akachagua vifurushi vingine vilivyopo nje ya Saizi yako kumnunulia Rafiki kifurushi wakati wowote wa siku na anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja

Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi alichonunua. Kumnunulia rafiki kifurushi Mteja anatakiwa kununua kifurushi kingine. Kumnunulia Rafiki mteja anaweza kuchagua kifurushi chochote kupita menyu yetu ya *147*00# na kuchagua 7 mnunulie Rafiki.

Muda wa Kifurushi:

Kila kifurushi cha Tigo BOOM kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

Kubeba salio la Kifurushi:

Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Tigo BOOM:

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

Matumizi ya salio la vifurushi vya Tigo BOOM ndani na Nje ya Mtandao:

Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Tigo BOOM ndani ya mtandao au mitandao mingine Tanzania

Matumizi ya huduma nyingine:

Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi Tigo BOOM

Mteja anayenunua vifurushi vya Tigo BOOM atafahamika kuwa amesoma, ameelewa na kukubali vigezo na masharti yaliyopo

Tigo BOOM Maswali na Majibu

  Tigo BOOM ni nini?

Tigo BOOM ni huduma mpya inayowalenga vijana waliojiunga na mtandao wa Tigo nchini Tanzania. Kampeni hii inalenga vijana wenye umri usiozidi miaka 24 ikiwa ni pamoja na wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu, vijana wanaojua kusoma na kuandika walioajiriwa au kujiajiri au ambao bado wanatafuta ajira na waliojiunga na mtandao wa Tigo.

  Kuna faida gani kwa mteja katika huduma hii ya Tigo BOOM?
 1. Mteja atapata na kufurahia Vifurushi maalum vya Tigo BOOM
 2. Kutuma Pesa BURE kwa Tigo Pesa kwenda kwa wateja wa Tigo. Ofa hii inadumu katika kipindi cha siku 60 baada ya kujiunga.
 3. Zawadi za Pesa taslimu baada ya kufanya miamala ya kuhamisha pesa kutoka Benki benki yeyote ile Tanzania kwenda katika akaunti ya mteja ya Tigo Pesa (Mara moja kwa Siku).
  Vifurushi vya TIGO BOOM ni vifurushi vya aina gani?

Hivi ni vifurushi maalum vilivyotengenezwa kukidhi mahitaji ya mawasiliano kwa vijana wenye umri chini ya miaka 24, ikiwa ni pamoja na wanafunzi wa chuo, vijana wanaojua kusoma na kuandika, walioajiriwa au kujiajiri au ambao bado wanatafuta ajira na waliojiunga na mtandao wa Tigo.

Vifurushi hivi vimetengenezwa kukidhi mahitaji yao yote ya mawasiliano na kidigitali katika viwango vya bei nafuu.

  Nani anaweza kupata ofa hizi za Tigo BOOM?
 • Ofa za Tigo BOOM ni mahususi kwa wateja wa Tigo ambao ni vijana wenye umri usiozidi miaka 24 nchini Tanzania
 • Ofa za Tigo BOOM ni mahususi kwa wateja wa Tigo wa malipo ya kabla tu
 • Ofa hizi mpya za Tigo BOOM zitapatikana kwa wateja wote wapya na wa zamani wenye umri usioidi miaka 24.
  Ni kwa muda gani ofa za Tigo BOOM hupatikana?
 • Ofa za Tigo BOOM zinapatika kwa wateja walengwa kuanzia 16 Julai, 2020.
 • Ofa hizi ni za msimu na huweza kubadilika wakati wowote inapohitajika. Taarifa kwa wateja itatolewa ikiwa kutakuwa na mabadiliko katika ofa hizo kupita ujumbe mfupi wa maneno yaani SMS na katika tovuti ya Tigo
  Kuna ofa gani za Tigo BOOM?
 1. Mteja atapata Vifurushi maalum vya Tigo BOOM

  *KUMBUKA: Endapo mteja ana ofa maalum kwa ajili yake, vifurushi vipya Tigo BOOM havita ondoa ofa zake bali vitaongezeka kwenye orodha ya ofa anazoziona.

  Pia Wateja wapya watapata vifurushi vya Tigo BOOM pamoja na vifurushi vya ofa maalum kwa wateja wapya

 2. Kutuma Pesa BURE kwa Tigo Pesa kwenda kwa wateja wa Tigo. Ofa hii inadumu katika kipindi cha siku 60 baada ya kujiunga.
 3. Zawadi za Pesa taslimu baada ya kufanya miamala ya kuhamisha pesa kutoka Benki yeyote ile Tanzania kwenda katika akaunti ya mteja ya Tigo Pesa (Mara moja kwa Siku). Mteja anaweza kupokea hadi Tsh10,000 BURE kila siku anapoweka kiasi cha kuanzia Tsh200,000 na kuendelea kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa

  *Kumbuka:

  Mteja anatakiwa kujiunga na ofa hii kwa kupiga *150*01# kisha chagua 9 kujiunga. Ofa hii inapatikana kwa wateja wampya wa Tigo tu.

  Ofa ya kutuma pesa bure ni kwa Wateja wapya tu.

  Jinsi gani naweza kujiunga na Vifurushi vya Tigo BOOM?

Mteja anatakiwa kupiga *147*00# → Chagua SAIZI YAKO → Kisha Chagua kifurushi cha BOOM kinachoendana na mahitaji yako

  Ni njia zipi za malipo zinatumika katika kununua Vifurushi vya Tigo BOOM?

Kuna njia mbili za malipo ambazo mteja anaweza kuchagua kutumia wakati wa kununua vifurushi.

 1. Salio kuu la muda wa mongezi
 2. kupitia Tigo Pesa.

Njia hizi hupatiwa mteja pindi anaponunua kifurushi

  Je, naweza kununua vifurushi vya Tigo BOOM zaidi ya maramoja?

Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia Rafiki vifurushi vya Tigo BOOM?

Mteja hawezi kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Tigo BOOM. Kupitia menyu yetu ya *147*00# mteja anaweza akachagua vifurushi vingine vilivyopo nje ya Saizi yako kumnunulia Rafiki kifurushi wakati wowote wa siku na anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja

  Je naweza kugawa salio la kifurushi cha Tigo BOOM kwa mtu mwingine?

Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi alichonunua. Kumnunulia rafiki kifurushi Mteja anatakiwa kununua kifurushi kingine. Kumnunulia Rafiki mteja anaweza kuchagua kifurushi chochote kupita menyu yetu ya *147*00# na kuchagua 7 mnunulie Rafiki.

  Je vifurushi vya Tigo BOOM vinadumu kwa muda gani?

Kila kifurushi cha Tigo BOOM kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi cha Tigo BOOM pindi ninaponunua kifurushi kingine?

Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi cha Tigo BOOM alichonunua kwa sasa. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

  Jinsi gani naweza kuangalia salio la vifurushi vya Tigo BOOM?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

  Je naweza kutumia salio la vifurushi vya Tigo BOOM ndani na Nje ya Mtandao?

Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Tigo BOOM ndani ya mtandao au mitandao mingine Tanzania

  Je, naweza kutumia huduma nyingine pindi ninapokuwa nimejiunga na vifurushi vya Tigo BOOM?
 • Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokuwa amejiunga na kifurushi au vifurushi Tigo BOOM
 • Mteja anayenunua vifurushi vya Tigo BOOM atafahamika kuwa amesoma, ameelewa na kukubali vigezo na masharti yaliyopo

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo