
Boresha mawasiliano ya kampuni yako wakati unapunguza gharama zake.

Biashara yako lazima iwe imeunganishwa muda wote na ulimwengu wa kibiashara.

Hifadhi nyaraka za kibiashara katika ulinzi bora na uifikie ukiwa popote na muda wowote.

Boresha ufanisi wa biashara yako kwa kutumia huduma mahususi kwa biashara yako.
Tigo Business Plans

Tigo Business inakupa huduma yenye ushindani mkubwa kuliko wapinzani wenzetu. Na ufumbuzi huu, piga simu bila kikomo bure kabisa wakati wa masaa kazi ukiwa umeunganishwa wakati wote na uweze kuelekeza bidii zako zote katika biashara yako.
Huduma ya SMS

Nyenzo rahisi na haraka inayokupa uwezo wa kuwajulisha wateja wako kuhusu matangazo yako ya kibiashara, isipojalisha wapo mtandao upi. Tuma ujumbe, bili na taarifa yoyote kupitia tovuti maalumu.
Intaneti Binafsi

Ufumbuzi wa Kuunganishwa wa Tigo Business unafanya biashara ya uunganishwe na dunia kwa intaneti binafsi. Teknologia katika Tigo Business inahakikisha ufanisi na muendelezo wa biashara yako wakati wote na mahali popote kupitia njia salama na yenye uhakika kutoka na mtandao mkubwa na thabiti wa Tigo Tanzania.
Data senta Ya Tier 3

Data Center yetu ina msingi mzuri wa programu na humduma bora pamoja na kuunganishwa,huduma za ziada kwenye mandhari yenye ubora zikifuata ubora wakimataifa.