Tigo Fiesta Dar Es Salaam | Tigo Tanzania

Tigo inafahari ya kuwa mdhamini mkuu wa Fiesta 2016! Tamasha hili la wiki 11 linaloanzia Mwanza litakua na mfululizo wa matamasha yenye wasanii mbali mbali likizunguka katika mikoa 15 ya Tanzania, ikielekea kwenye tamasha la mwisho jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba 2016. Ungana nasi kwenye tamasha kubwa kuliko yote Tanzania na ufaidi vifurushi vya simu, intaneti, na SMS. Nunua tiketi yako na Tigo Pesa kutokea mtandao wowote, na upate punguzo la bei kwa asilimia 10.

Chagua Eneo la Tamasha

Muda Uliobaki Mpaka Tigo Fiesta Dar Es Salaam

Dar_Es_Salaam

Maelezo Kuhusu Tamasha

Mahali : Leaders Club

Tarehe: 05 November 2016

Bei ya Ticket (TZS): 20,000

Muda : 18 : 00

Pata Punguzo la 10% Ukinunua Ticket Yako

Nunua tiketi yako kupitia Tigo Pesa kutoka mtandao wowote upate punguzo la asilimia 10%! Jua zaidi kuhusu kutuma na kupokea hela kutoka mitandao mingine.

Jinsi ya Kununua Kutoka Mtandao Wowote

Tigo Pesa

1.  Piga *150*01#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 1 kutuma kwa namba ya simu.
4.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
5.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
6.  Ingiza namba yako ya SIRI.

Ezy Pesa

1.  Piga *150*02#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
4.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
5.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
6.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

Airtel Money

1.  Piga *150*60#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.
4.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
5.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
6.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
7.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

M-Pesa

1.  Piga *150*00#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.
4.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
5.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
6.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
7.  Ingiza namba yako ya SIRI. 
8.  Hakiki muamala wako.

Wasanii Watakaotumbuiza

Baraka Da Prince

Baraka Da Prince

Ben Pol

Ben Pol

Chege

Chege

Christian Bella

Christian Bella

Juma Jux

Juma Jux

Fid Q

Fid Q

Mr Blue

Mr Blue

Raymond

Raymond

Stamina

Stamina

Shilole

Shilole

Manfongo

Manfongo

Nandy

Nandy

Billnas

Billnas

Sholo Mwamba

Sholo Mwamba

Weusi

Weusi

Vanessa Mdee

Vanessa Mdee

Dogo Janja

Dogo Janja

Barnaba

Barnaba

Roma

Roma

Young Dee

Young Dee

Lord Eyes

Lord Eyes

Yemi Alade

Yemi Alade

Teknomiles

Teknomiles

Jose Chameleone

Jose Chameleone

Ali Kiba

Ali Kiba

Belle 9

Belle 9

Matukio Mbalimbali

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo