Tigo kwa mara nyingine inafahari kuwa mdhamini mkuu wa Tigo Fiesta 2017! Tamasha hili la wiki 9 linaloanzia Arusha litakua na mfululizo wa matamasha yenye wasanii mbali mbali likizunguka katika mikoa 15 ya Tanzania, ikielekea kwenye tamasha la mwisho jijini Dar es Salaam tarehe 18 Novemba 2017. Ungana nasi kwenye tamasha kubwa kuliko yote Tanzania na ufaidi vifurushi vya simu, intaneti, na SMS. Nunua tiketi yako na Tigo Pesa kutokea mtandao wowote, na upate punguzo la bei kwa asilimia 10.
1. Piga *150*01#. 2. Chagua 1 kutuma pesa. 3. Chagua 1 kutuma kwa namba ya simu. 4. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888". 5. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi. 6. Ingiza namba yako ya SIRI.
Ezy Pesa
1. Piga *150*02#. 2. Chagua 1 kutuma pesa. 3. Chagua 3 kutuma Tigo Pesa. 4. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888". 5. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi. 6. Ingiza namba yako ya SIRI.
Airtel Money
1. Piga *150*60#. 2. Chagua 1 kutuma pesa. 3. Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine. 4. Chagua 3 kutuma Tigo Pesa. 5. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888". 6. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi. 7. Ingiza namba yako ya SIRI.
M-Pesa
1. Piga *150*00#. 2. Chagua 1 kutuma pesa. 3. Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine. 4. Chagua 3 kutuma Tigo Pesa. 5. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888". 6. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi. 7. Ingiza namba yako ya SIRI. 8. Hakiki muamala wako.