Tigo Fiesta Rukwa | Tigo Tanzania

Tigo kwa mara nyingine inafahari kuwa mdhamini mkuu wa Tamasha la kusisimua zaidi la muziki na utamaduni Afrika Mashariki na Kati, Tigo Fiesta 2018 – Vibe Lama Lote

Tigo Fiesta 2018! Tamasha hili la wiki 9 linaloanzia Arusha litakua na mfululizo wa matamasha yenye wasanii mbali mbali likizunguka katika mikoa 15 ya Tanzania, ikielekea kwenye tamasha la mwisho jijini Dar es Salaam tarehe 24 Novemba 2018. Ungana nasi kwenye tamasha kubwa kuliko yote Tanzania na ufaidi vifurushi vya simu, intaneti, na SMS. Nunua tiketi yako na Tigo Pesa kutokea mtandao wowote, na upate punguzo la bei la hadi asilimia 20.

Chagua Eneo la Tamasha

Muda Uliobaki Mpaka Tigo Fiesta Dar Es Salaam

Maelezo Kuhusu Tamasha

Mahali : Leaders club

Tarehe: 24 November 2018

Bei ya Ticket (TZS): 20,000

Muda : 0 : 030

Pata Punguzo la 20% Ukinunua Ticket Yako

Nunua tiketi yako kupitia Tigo Pesa kutoka mtandao wowote upate punguzo la asilimia 20%! Jua zaidi kuhusu kutuma na kupokea hela kutoka mitandao mingine.

Jinsi ya Kununua Kutoka Mtandao Wowote

Tigo Pesa

1.  Piga *150*01#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 1 kutuma kwa namba ya simu.
4.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
5.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 20 ya bei ya ticketi.
6.  Ingiza namba yako ya SIRI.

Ezy Pesa

1.  Piga *150*02#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
4.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
5.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 20 ya bei ya ticketi.
6.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

Airtel Money

1.  Piga *150*60#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.
4.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
5.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
6.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 20 ya bei ya ticketi.
7.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

M-Pesa

1.  Piga *150*00#.
2.  Chagua 1 kutuma pesa.
3.  Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.
4.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
5.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
6.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 20 ya bei ya ticketi.
7.  Ingiza namba yako ya SIRI. 
8.  Hakiki muamala wako.

Wasanii Watakaotumbuiza

Fid Q

Fid Q

Matukio Mbalimbali

Tigo Fiesta

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo