Maelezo Kuhusu Tamasha
Mahali : Nelson Mandela Stadium
Tarehe: 21 October 2017
Bei ya Ticket (TZS): 10,000
Muda : 18 : 00
Pata Punguzo la 10% Ukinunua Ticket Yako
Nunua tiketi yako kupitia Tigo Pesa kutoka mtandao wowote upate punguzo la asilimia 10%!
Jua zaidi kuhusu kutuma na kupokea hela kutoka mitandao mingine.
Jinsi ya Kununua Kutoka Mtandao Wowote
Tigo Pesa
1. Piga *150*01#.
2. Chagua 1 kutuma pesa.
3. Chagua 1 kutuma kwa namba ya simu.
4. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
5. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
6. Ingiza namba yako ya SIRI.
Ezy Pesa
1. Piga *150*02#.
2. Chagua 1 kutuma pesa.
3. Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
4. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
5. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
6. Ingiza namba yako ya SIRI.
Airtel Money
1. Piga *150*60#.
2. Chagua 1 kutuma pesa.
3. Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.
4. Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.
5. Ingiza namba ya Tigo Pesa "0678 888 888".
6. Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.
7. Ingiza namba yako ya SIRI.
M-Pesa
1. Piga *150*00#.

8. Hakiki muamala wako.