Tigo Hadithi | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo Hadithi

Kuhusu Tigo Hadithi:

Wote tunapenda hadithi za kusisimua. Kuanzia hadithi za mapenzi, za kutisha na za kuelimisha, Tigo Hadithi ina stori kwa kila mtu. 

Unaweza kujiunga na Hadithi na ukapata tukio jipya kila siku au waweza nunua hadithi nzima nakusikiliza matukio tofauti kwa wakati wako.   

Jinsi ya kujiunga huduma ya Tigo Hadithi:

Piga 0 901 656 564 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kununua.

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Sauti ya Maajabu:

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 15668.

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Tigo Hadithi ni huduma gani?

Wote tunapenda hadithi za kusisimua. Kuanzia hadithi za mapenzi, za kutisha na za kuelimisha, Tigo Hadithi ina stori kwa kila mtu. Unaweza kujiunga na Hadithi na ukapata tukio jipya kila siku au waweza nunua hadithi nzima nakusikiliza matukio tofauti kwa wakati wako. 

  Ni jinsi gani naweza kujiunga katika huduma ya Tigo Hadithi?

Piga 0 901 656 564 na ufuate maelekezo ya jinsi ya kununua.

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma yaTigo Hadithi?

Kujiondoa kwenye huduma mteja anaweza kutuma neno ONDOA kwenda 15668

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

Huduma hii ni kwa ajili ya wateja wa Tigo wa malipo ya awali tu

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii ina gharama za siku ifuatavyo bei zilizojumlisha kodi :
- Kwa dakika 5 za masimulizi = TZS 50.
- Kwa dakika 10 za masimulizi = TZS 100.
- Kwa dakika 15 za mazimulizi = TZS 150.
- Kwa hadithi nzima = TZS 1,200  Tigo Pesa au TZS 1,300 kupitia salio lako la muda wa maongezi.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo