Tigo Kandanda | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo Kandanda

Tigo Kandanda:

KANDANDA ni mchezo wa maswali na majibu wenye nia ya kuzawadia wateja wa Tigo na Zawadi kabambe. Kampeni hii ina lengo la kuongeza ufahamu wa ujumla kwa yaliyomo kwenye KANDANDA

Mteja atakaribishwa kwenye huduma kupitia SMS na kwa kila swali atakalo jibu atazawadiwa POINTI. Kadiri unavyojibu maswali unajiongezea POINTI ZA USHINDI WA ZAWADI.


Jinsi ya Kujiunga:

Kujiunga kwenye huduma itakua kupitia chaneli zifuatazo

 1. SMS- Tuma neno KANDANDA kwenda 15713

SMS itatumwa kwa mteja kumkaribisha kwenye huduma, kila sms atakayo jibu mteja itachajiwa Tshs 100 na kwa kila jibu sahihi ajipatia POINTI 100 na jibu lisilo sahihi atajipatia pointi 50


Zawadi Katika Kampeni ya “ TIGO KANDANDA:

 1. Tsh 1,000,000 kila mwezi
 2. Tsh 500,000 kila wiki
 3. Tsh 100,000 kila siku
 4. Simu Janja
 5. Gift shopping voucher
 6. Tshs 18,000,000 zawadi ya mwisho wa msimu

Maswali na Majibu:

Vigezo na Masharti:

 • Washiriki wote wa kapeni hii ni lazima wawe na miaka 18 na Zaidi.
 • Kuanzia tarehe 1 Julai 2019 na kuendelea Makato ya ushuru kwa michezo ya Bahati Nasibu kwenye Zawadi zote za fedha ni 20%.
 • Watoa huduma na waajiriwa wa Tigo Pamoja na familia zao hawana ruhusa kushiriki kwenye kampeni hii.
 • Kujiunga na huduma ni BURE. Ukifanikiwa kujiunga, mteja ataanza kupokea maswali mbali mbali na swali halitachajiwa mpaka mteja atakapo jibu swali.
 • Baada ya kujiunga na huduma, mteja atakuwa ametoa idhini na kuanza kupokea ujumbe mfupi wa kushawishi wa huduma.
 • Tigo inaweza kutumia baadhi ya taarifa kama picha, sauti au video za MSHINDI aliyeshinda zawadi ya kampeni hii kwa kipindi chote cha kampeni kwa ajili ya uhamasishaji wa kampeni.
 • Jina la Mshindi linaweza kuchapishwa kwenye magazeti au vyombo vingine vya habari.
 • Namba ya mteja lazima iwe imesajili kwa alama za vidole ili kufuzu kwenye hii huduma.
 • Kampeni hii iko wazi kwa wakazi wa Tanzania tu.
 • Mteja anatakiwa kusoma na kuelewa vigezo na masharti ya promosheni hii na kama asipoelewa apige namba 100 kuongea na mwakilishi kutoka Tigo au atembelee duka la Tigo lolote lililopo karibu na yeye.
  Kwa kushiriki katika promosheni hii, mteja anathibitisha kuwa amesoma, ameelewa na amekubaliana vigezo na masharti ya hii promosheni.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo