Vifurushi vya Tigo Kinara | Tigo Tanzania

 Vifurushi vya Tigo Kinara

Vifurushi vya Tigo Kinara

Tigo imedhamiria kutoa huduma za kiwango cha kimataifa kupitia bidhaa na huduma za kidijitali ambazo hukidhi mahitaji binafsi za wateja maalumu.
Kwa kuzingatia hilo Tigo imezindua huduma ya Tigo Kinara, programu pekee inayompa mteja faida mbalimbali za kimaisha.
Vifurushi vya Tigo Kinara ni vifurushi vya muda wa maongezi, Intaneti and SMS vinavyompatia mteja huduma bora mbalimbali za kidijitali kwa lengo kuu la kutoa huduma zinazoendana na mahitaji yake binafsi.
Vifurushi vya Tigo Kinara vina faida mbalimbali kama huduma ya okoa salio, safari za bure na Uber, kurudishiwa pesa za miamala, punguzo la bei za manunuzi kwenye maduka na kwa watoa huduma mbalimbali

Tigo Pesa
  • Furahia urahisi wa kufanya manunuzi kwenye mtandao mkubwa zaidi wa wafanya biashara Tanzania
  • Pata huduma kwa wateja zenye kiwango cha kimataifa unapotumia Tigo Pesa App ikiwemo huduma ya Jihudumie, ya rudisha muamala na malipo kwa Master Pass QR
  • Simamia kwa urahisi miamala ya pesa huku ukifurahia ofa mbalimbali za kipekee za Tigo Pesa
Tigo Intaneti
  • Tumia mtandao mkubwa na wenye kazi zaidi wa Tigo 4G+ ufurahie huduma za kuaminika na bora zaidi za kidijitali
  • Pakua mafaili, tazama video za muziki au sinema za HD kwa muda mfupi ukiwa na mtandao wenye kasi zaidi wa Tigo 4G+
  • Nunua simu janja na router kutoka Tigo upate ofa mbalimbali
Huduma Maalumu
  • Furahia huduma ya okoa salio inayokuruhusu kuongeza ukomo wa salio la kifurushi cha muda wa maongezi, Intaneti, SMS na simu za kimataifa ikiwa utajisajili na kifurushi kingine cha Kinara
  • Furahia huduma ya kipaumbele utakapopiga Tigo huduma kwa wateja au utakapotembelea duka la Tigo
  • Furahia faida mbalimbali kutoka washirika wa kibiashara wa Tigo, maduka na watoa huduma kama┬ávile punguzo la bei kwenye migahawa, mahoteli na mashirika ya ndege.

Tigo Kinara - Vifurushi vya siku

24 saa

Vifurushi vya siku

Bei Intaneti Mitandao Yote Kitendo
1,500 MB 200 DK 25 Nunua
3,000 MB 200 DK 100 Nunua

Tigo Kinara Vifurushi vya Wiki

Vifurushi vya Wiki

Bei Intaneti Mitandao Yote Kitendo
10,000 MB 500 DK 150 Nunua
10,000 GB 2 DK 50 Nunua
siku 7

Tigo Kinara Vifurushi vya Mwezi

siku 30

Vifurushi vya Mwezi

Bei Intaneti Mitandao Yote Kitendo
30,000 GB 5 300 Min Nunua
50,000 GB 15 DK 300 Nunua

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo