Minikabang - Tigo kwenda Mitandao Mingine | Tigo Tanzania


Minikabang - Tigo kwenda Mitandao Mingine


Minikabang - Tigo kwenda Mitandao Mingine

Kwa jinsi unavyoongea na kuperuzi, ndo jinsi unavyo okoa pesa yako na vifurushi vya Minikabang. Haijalishi unampigia simu mtu gani au mtandao gani, furahia vifurushi vyetu vya kupiga simu na intaneti. Vifurushi vyote vya Minikabang vina intaneti ya 3G au 4G kwa bei ile ile moja. Jifunze jinsi ya kuanza kutumia Tigo 4G.

Kama unatumia muda mwingi kuongea kwa watu wengine watumiao Tigo, kifurushi cha Tigo kwenda Tigo kitakufaa zaidi. 

Vifurushi vya Siku

Bei Dakika SMS Intaneti (3G/4G) Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 500 10 40 MB 1 MASAA 24  
TZS 650 15 100 MB 3 MASAA 24 Nunua 
TZS 1000 25 BILA KIKOMO MB 8 MASAA 24  Nunua

 

Vifurushi vya Wiki

Bei Dakika SMS Intaneti (3G/4G) Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 1,999 30 200 MB 10 SIKU 7  Nunua
TZS 4,999 100 500 MB 30 SIKU 7   Nunua
TZS 9,999 200 1,000 MB 50 SIKU 7  Nunua

 

Vifurushi vya Mwezi Pima Utumiaji wa Intaneti

Bei Dakika SMS Intaneti (3G/4G) Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 9,999 130 1,000 MB 50 SIKU 30  Nunua
TZS 19,999 350 2,000 MB 200 SIKU 30  Nunua
TZS 30,000 600 3,000 GB 3  SIKU 30  Nunua
TZS 50,000 1,100 10,000 GB 7 SIKU 30  Nunua

 

Bei zinajumuisha kodi ya ongezeko la thamani.

 

Nunua kupitia salio

Piga *148*00#

Nunua kupitia tigo pesa

Piga *150*01#

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo