Tigo kwenda Tigo | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Vifurushi Vya Dakika

Vifurushi Vya Dakika

Vifurushi Vya Siku

Bei   Jumla ya dakika Mitandao Yote Tigo kwenda Tigo  SMS Muda wa kudumu
TZS 500 30 20 10 10 Masaa 24
TZS 1,000 110 90 20 20  Masaa 24
TZS 2,000 220 150 70 30  Masaa 24
TZS 500 40 10 30 10 Masaa 24
TZS 1000 280 40 240 50 Masaa 24

Vifurushi Vya Wiki

Bei  Jumla ya dakika Mitandao Yote Tigo Kwenda Tigo  SMS Muda wa kudumu
TZS 1,500 75 60 15 20 SIKU 7
TZS 3,000 375 300 75 30 SIKU 7 
TZS 5,000 650 500 150 50 SIKU 7
TZS 1,500 200 50 150 30 SIKU 7
TZS 2,500 320 100 220 50 SIKU 7

Vifurushi Vya Mwezi

BEI   Jumla ya dakika Mitandao Yote Tigo Kwenda Tigo SMS Muda wa kudumu
TZS 10,000 750 600 150 50 SIKU 30
TZS 20,000 2100 1800 300 100 SIKU 30
TZS 30,000 3300 2600 700 100 SIKU 30
TZS 10,000 3400 400 3000 200 SIKU 30

All rates are tax inclusive.

Maswali ya Mara Kwa Mara:

  Je, ni vegezo gani vya kuniwezesha kununua vifurushi vya Tigo?

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Dakika
- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Ndio, Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Dakika wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Ni njia zipi za malipo naweza kutumia?

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha Dakika kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Ndio, Mteja anaweza kubeba salio la kirufushi alichonunua ikiwa atanunua kifurushi kile kile kabla ya muda wa kifurushi alichonunua kuisha.
Muda wa kifurushi umewekwa wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia kifurushi

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi?

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Dakika → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Dakika?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, naweza kutumia salio la Dakika ndani na Nje ya Mtandao?

Ndio, Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Dakika kupiga simu ndani ya mtandao na mitandao mingine 

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Dakika kwa ajili ya Roaming au huduma za simu za Kimataifa na SMS?

Hapana, Vifurushi vya Dakika hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao na mitandao mingine ndani ya nchi tu na si kwa matumizi ya Roaming au Simu au SMS za Kimataifa 

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

Vigezo na Masharti:

Ustahiki:

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Dakika

- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu.

Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

Kumnunulia rafiki:

Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Dakika wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

Njia za Malipo:

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi.

  1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.

Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya  *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

Muda wa Kifurushi:

Kila kifurushi cha Dakika kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

Kubeba salio la Kifurushi:

Mteja anaweza kubeba salio la kirufushi alichonunua ikiwa atanunua kifurushi kile kile kabla ya muda wa kifurushi alichonunua kuisha. 

Muda wa kifurushi umewekwa wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia kifurushi

Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi:

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Dakika → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au

Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au

Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au

Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Dakika:

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

Matumizi ya salio la Dakika ndani na Nje ya Mtandao:

Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Dakika kupiga simu ndani ya mtandao au mitandao mingine

Matumizi ya Salio la vifurushi vya Dakika kwa ajili ya Roaming au huduma za simu za Kimataifa na SMS: Vifurushi vya Dakika hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao na mitandao mingine ndani ya nchi tu na si kwa matumizi ya Roaming au Simu au SMS za Kimataifa

Matumizi ya huduma nyingine:

Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya dakika.

Dakika zinazotolewa zinaweza kutumika wakati wowote wa siku isipokuwa Dakika za USIKU zinatumika kuanzia Saa 4:00 Usiku hadi Saa 12:00 Alfajiri tu 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo