Tigo Mtikisiko | Tigo Tanzania

Tigo Tanzania, Kampuni inayo ongoza kwa kuendesha shughuli zake kidigitali hufanya tamasha la “Mtikisiko Festival” kwa ushirikiano na Ebony FM, Radio yenye mashabiki wengi katika mikoa ya kusini na nyanda za juu mwa Tanzania. Mtiririko huu wa matamasha ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka utahusisha wasanii wakubwa zaidi nchini, Tamasha litaanza tarehe 19 na 26 Novemba katika mikoa ya Njombe na Mbeya kisha hitimisho  la tamasha litafanyika tarehe 10 Disemba 2016 mkoani Iringa. 

Chagua Eneo la Tamasha

Muda Uliobaki Mpaka Tigo Mtikisiko Iringa

Iringa

Maelezo Kuhusu Tamasha

Mahali : Samora Stadium

Tarehe: 10 December 2016

Bei ya Ticket (TZS): 10,000

Muda : 15 : 00

Pata Punguzo la TZS 1000 Ukinunua Tiketi Yako

Nunua tiketi yako kupitia Tigo Pesa kutoka mtandao wowote upate punguzo la TZS 1,000! Jua zaidi kuhusu kutuma na kupokea hela kutoka mitandao mingine.

Jinsi ya Kununua Kutoka Mtandao Wowote

Tigo Pesa

1.  Piga *150*01#.

2.  Chagua 1 kutuma pesa.

3.  Chagua 1 kutuma kwa namba ya simu.

4.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0674 444 444".

5.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.

6.  Ingiza namba yako ya SIRI.

Ezy Pesa

1.  Piga *150*02#.

2.  Chagua 1 kutuma pesa.

3.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.

4.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0674 444 444".

5.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.

6.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

Airtel Money

1.  Piga *150*60#.

2.  Chagua 1 kutuma pesa.

3.  Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.

4.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.

5.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0674 444 444".

6.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.

7.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

M-Pesa

1.  Piga *150*00#.

2.  Chagua 1 kutuma pesa.

3.  Chagua 3 kutuma kwenda mitandao mingine.

4.  Chagua 3 kutuma Tigo Pesa.

5.  Ingiza namba ya Tigo Pesa "0674 444 444".

6.  Ingiza kiasi cha kununua ukitoa asilimia 10 ya bei ya ticketi.

7.  Ingiza namba yako ya SIRI. 

8.  Hakiki muamala wako.

Wasanii Watakaotumbuiza

Chege

Chege

Mr. Blue

Mr. Blue

Snura

Snura

Stamina

Stamina

Msaga Sumu

Msaga Sumu

Isha Mashauzi

Isha Mashauzi

Christian Bella

Christian Bella

Navy Kenzo

Navy Kenzo

Linex

Linex

Q Chief

Q Chief

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo