Tigo Nivushe – Mikopo ya Tigo Pesa | Tigo Tanzania

 Tigo Nivushe – Mikopo ya Tigo Pesa

Je, umepungukiwa na pesa? Labda rafiki yako amekwama au LUKU imeisha usiku wa manane? Tigo Nivushe itakusaidia

Tigo Nivushe inakuwezesha kupata mkopo hapo hapo utakapoihitaji. Watumiaji wa Tigo Pesa wanaruhusiwa kuchukua mkopo wa TZS 20,000 kwa kuanzia. Kiasi unachoruhusiwa kupokea inategemea na kiasi gani unayobakisha katika akaunti yako ya Tigo Pesa au kwenye salio. Uwezo wako wa kukopa zaidi inategemeana na uwezo wako wa kurudisha mkopo haraka. Unaweza kuchagua kulipa mkopo ndani ya siku 7, 14 au 21.

Jinsi ya kujipatia mkopo kupitia Tigo Nivushe

Tafadhali jua, huduma hii haiko kwa wateja wote

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo