Tigo pesa kwa ajili ya Biashara | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo pesa kwa ajili ya Biashara

Zaidi ya watanzania milioni 16 hutumia huduma za malipo kutuma na kupokea pesa, kulipa bili, ama kulipa wafanyabiashara kupitia simu za mkononi. Kwa kuwa Tigo Pesa inaruhusu upokeaji wa malipo kutoka kwa watumiaji wa MPesa, Airtel Money NA EzyPesa, unaweza kufanya miamala na wateja wengi zaidi kuliko mitandao yote mingine.

Ukweli ni kwamba mapato yako ya kibiashara yataongezeka ukiwa na njia rahisi kwa wateja kutoa malipo. Kama biashara yako haipokei malipo kupitia Tigo Pesa, jiunge leo kuwa mfanyabiashara atumiae Tigo Pesa na utakua kati  ya biashara zaidi ya 300,000 zinazopokea malipo kupitia Tigo Pesa.

 

Tigo pesa kwa ajili ya Biashara

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo