Iwapo wewe ni mbunifu wa mtandaoni, mjasiriamali wa kidijitali, mfanyabiashara wa kielectroniki au ungependa tu kutumia huduma za kifedha kwa njia ya simu ya mkononi kurahisisha usimamizi wa malipo kwenye biashara yako, API za Tigo Pesa zinapatikana kwa ajili yako. Pakua nyaraka ya muongozo unaokufaa, fuata maelekezo yalioelezwa, jaribisha na mara utakapokuwa tayari wasiliana na timu yetu ya Tigo Pesa kupitia Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona. ili kupata msaada zaidi.
Mteja kwa Biashara (C2B)
Hii API hutumika katika huduma za ukusanyaji kwa biashara. zinazopendelea kupokea malipo ya bidhaa au huduma kutoka kwa wateja kwa kutumia Tigo Pesa
Pakua APIBiashara kwa Mteja (B2C)
Hii API hutumika katika huduma ya utoaji Tigo Pesa kwenda kwa wafanyakazi, wapokeaji wa mchango ama mikopo au aina yoyote ya malipo kwa idadi kubwa ya watu watumiao Tigo Pesa
Pakua APIMalipo ya Mtandaoni – Tigo Secure
Hii API hupachikwa katika zana za simu au zana za kimtandao ili kuwezesha malipo kwa Tigo Pesa, hii huruhusu njia salama ya malipo ya bidhaa au huduma kwa kupitia Tigo Pesa
Pakua API