Tigo Rusha | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo Rusha

Maelezo Kuhusu Tigo Rusha:

Huu ni mfumo  wa kuuza muda wa maongezi na vifurushi kwa kutumia  salio la Tigo Pesa.

 1. Hapa tumeboresha mfumo wa kuuzioa Tigo Rusha
 2. Tumeongeza mfumo mpya wa kuuza kupitia program.

 

Vigezo na Masharti:

Ili uweze kuuza au kufanya Tigo Rusha unatakiwa uwe:

 • Wakala wa Tigopesa
 • Freelancer wa Tigo
 • Duka lililowezeshwa au linalohitaji kuuza
 • Muuzaji lazima awe na salio kwenye akaunti yake ya tigo pesa
 • Muuzaji ambaye sio wakala atapata faida papo hapo kila akifanya mauzo

 

FAQs

  Tigo Rusha ni nini?

Huu ni mfumo mpya wa kuuza muda wa maongezi na vifurushi kwa kutumia  salio la tigo pesa

  Je ni lazima muuzaji awe amesajiliwa kwenye Tigopesa

Muuzaji ni lazima awe amesajili line yake kwenye tigo pesa na awe na akaunti ya Tigopesa inayofanya kazi

  Muuzaji anatumia menu gani wakati akiuza

*148*08#

  Ni Faida gani zakutumia Tigo Rusha?

Faida za kutumia huduma hii ni:

 1. Huduma hii ni rahisi sana kutumia
 2. Huduma ni ya haraka na ya uhakika
 3. Huduma hii inakuwezesha kuuza salio na kupata faida ya  asilimia xxx mfano ukiuza muda wa maongezi Tshs xxxxx unapata faida ya Tsh.xxxx
 4. Huduma hii inakuwezesha kupata faida kila uuzapo kifurushi kutegemeana na faida ya kifurushi Husika
  Katika Menu ya Tigo Rusha unaweza kufanya huduma zipi?

Huduma zifuatazo zaweza kufanyika:

                 1.Kuuza muda wa maongezi

                 2.Kuuza vifurushi

                3.Kuuza muda wa maongezi kwenda Zantel

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo