Tigo Backup | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Tigo Backup

Tigobackup ni App inatunza kumbukumbu ya simu yako  na kusimamia ulinzi wa simu yako.

Kutunza Kumbukumbu

Tigobackup inakuwezesha kutunza Taarifa mbalimbali kutoka ndani ya simu yako kama Picha, Video, Ujumbe Mfupi,Miziki na Taarifa Mbalimbali. Unaweza pakua hizi taarifa mda wowote ule utakapoitaji iwe ni kwenye simu mpya au computer cha kufanya nikuingia kwenye account yako kupitia App au  https://www.tigobackup.com/

Kulinda Simu Yako 

Tigobackup inakuwezesha Mteja kuwezesha ulinzi wa simu yako kama kujua Mahala ilipo, Namba ya Mtumiaji,kupiga Picha mtumiaji na eneo alipo,kupiga kingora engapa imezimwa sauti na kufuta tarifa za Simu kama hauna uhakika wa kurudishiwa au kuipata .

 

Sifa za Utunzaji wa Tigobackup 

 • Kuongeza Nafasi katika simu
 • Kutunza na kurudisha Sms
 • Kutunza na kurudisha Picha
 • Kutunza na kurudisha Video
 • Kutunza na kurudisha Documents
 • Kutunza na kurudisha Majina ya simu
 • Kutunza na kurudisha Miziki
 • Kutunza na kurudisha vitu mbali

Sifa za Ulinzi wa Tigobackup 

Kupitia https://www.tigobackup.com/ au sms

 • Kufunga simu 
 • Kupata eneo ilipo simu
 • Kupata mtumiaji mpya wa simu
 • Kuwezesha kingora 

 

 • Kuficha App
 • Kupata picha ya Mtumiaji simu ikipotea
 • Kufuta Taarifa za simu kama hakuna matumaini ya kuipata tena

 

Jinsi ya Kutumia

 • Pakua Tigobackup Toka playstore  Pakua TigoBackup (Toleo la Appstore linakuja Karibuni)
 • Fungua Tigobackup
 • Fungua Akaunti kwa Mtumiaji wa mara ya kwanza
 • Pata sms ya uthibitisho wa usajili 
 • .Anza Tumia Tigobackup
 • Unaweza chagua Kujiunga na kifurushi cha Mwezi 

Faida

 • Kutunza na kupakua Taarifa zako
 • Nafasi ya Mpaka 10gb
 • Kuchugua kitu gani cha kutunza ndani ya simu kati ya sms, majina,picha,video nk.
 • Ulinzi wa uhakika kwa chombo chako
 • Kusimamia simu unazotaka ziingie na kutoka ndani ya simu yako
 • Bila hata Internet unaweza Pata ulinzi wa simu kwa sms

 

Pakua app:-


 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo