TKHM 2018 | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 TKHM 2018

Tigo Kili Half marathon ni mbio za KM21 ambazo ni sehemu ya tukio zima la Kili marathon zinazofanyika kila mwaka. Huu ni mwaka wa nne mfululizo Tigo ikiwa kama mdhamini wa mbio hizi zinazokutanisha wakimbiaji kutoka sehemu mbalimbali kuweza kujumuika pamoja. Lengo kubwa ni kuunga mkono dhana ya kudumisha afya bora na kuutangaza utalii wa Tanzania.

Maelezo ya Tigo Kilimanjaro Half Marathon 2018:

  • Mahali: Uwanja wa Ushirika Moshi, Kilimanjaro
  • Tarehe: 4 Machi 2017
  • Saa: 12 Asubuhi 

Kujisajili : 

 Piga *149*20# kisha fuata maelekezo rahisi.

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo