Twitter USSD | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Twitter USSD

Kuhusu Twitter USSD:

Twitter USSD ni huduma inayomuwezesha mteja kupata habari za mtandao wa Twitter. Habari zinaweza kuwa za michezo, muziki, habari, siasa na kadhalika.

Jinsi ya Kujiunga na huduma ya Twitter USSD:

Kupitia Menyu ya *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua huduma ya Twitter

Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Twitter USSD:

Piga *147*00# kisha chagua Twitter na nenda kwenye mpangilio (setting) na chagua Kujitoa

Vigezo na Masharti:

Maswali na Majibu:

  Huduma ya Twitter USSD ni huduma gani?

Twitter USSD ni huduma inayomuwezesha mteja kupata habari za mtandao wa Twitter. Habari zinaweza kuwa za michezo, muziki, habari, siasa na kadhalika. P

  Jinsi gani naweza kujiunga na huduma ya Twitter USSD 

Kupitia Menyu ya *147*00# kisha chagua 6 kisha chagua huduma ya Twitter

  Jinsi gani naweza kujitoa kwenye huduma ya Twitter USSD? 

Piga *147*00# kisha chagua Twitter na nenda kwenye mpangilio (setting) na chagua Kujitoa

  Zipi gharama za huduma hii?

Huduma hii inatoza Tsh 99 kwa siku na Tsh 399 kwa wiki

  Vigezo gani vinaniwezesha kupata huduma hii?

1. Huduma hii ni kwa wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla

2. Huduma hii inapatikana katika USSD peke yake

3.Huduma hii haitumii intaneti

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo