Mashirika Makubwa
Unganisha PBX mbalimbali au line za moja kwa moja na ufurahie kupiga simu ndani ya shirika lako bure kote nchini.

Kuunganisha Mawasiliano kwa Bei Rahisi
Unganishwa simu zako mara moja kwa njia fupi yenye bei nafuu.

Kampuni ndogo na Kubwa
Tilia msisitizo ujumbe au kauli mbiu ya chapa yako au hata kutangaza bidhaa zako kutumia Corporate Ring Back Tones (RBTs)

Namba za Bure za Huduma kwa Wateja
Ongeza mauzo huku ukizidi kuwaridhisha wateja wako kupitia number za huduma kwa wateja bila makato yoyote

Ongea na wateja wako bure kabisa mida ya kazi kwanzia Saa Mbili asubuhi mpaka Saa Kumi na Moja jioni.

Ongea na wateja wako bure kabisa mida ya kazi kwanzia Saa Mbili asubuhi mpaka Saa Kumi na Moja jioni.

Je unahitaji kuongea na wafanya kazi wenzako kwenye kampuni bila kikomo au kuogopa kuishiwa salio?
