Ujanja ni | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

 Ujanja ni

Ujanja ni..

Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo inafuraha kuzindua kampeni yake mpya ijulikanayo kama UJANJA NI.Hii ni kampeni inayolenga katika kuboresha vifurushi vilivyopo sokoni na kuwapa wateja bidhaa na huduma zinazowapa thamani ya pesa zao.

Kupitia kampeni hii wateja wataweza kufurahia Vifurushi rahisi na vyenye thamani zaidi kupitia mtandao mkubwa wa 4G+ Tanzania

  1. Tigo ni ya kwanza kuingiza sokoni Vifurushi vya Mitandao yote, (unapiga mitandao yote)
  2. Menyu iliyoboreshwa inayompa mteja huduma kwa urahisi na haraka
  3. Hakuna haja ya kumiliki laini zaidi ya moja (Tigo inakupa kila unachokihitaji)

Jinsi ya kupata huduma:

UJANJA NI huduma zitapatikana kupitia njia zifuatazo

  1. Piga *147*00#, *148*01# na *150*01#
  2. Huduma za kidigtali kama tovuti, App ya Tigo Pesa na mtandaoni.
  3. Kupiga huduma kwa wateja namba 100

 

Vigezo na Masharti:

  1. Huduma hii itapatikana kwa wtaeja wote wa Tigo wa malipo ya kabla nchi nzima
  2. Mteja anaweza kununua vifurushi muda wowote kupitia njia mbalimbali
  3. Mteja anaweza kununua vifurushi kwa kupitia salio la kawaida au kwa Tigo Pesa
  4. Kampuni ya MIC Tanzania (Tigo) haitahusika na taarifa zozote kuhusu kampeni hii nje tovuti yake, mitandao ya kijamii na chaneli zingine zinazotambulika na Kampuni.


FAQs:

  UJANJA NI ni nini?

Hii ni kampeni inayolenga katika kuboresha vifurushi vya Tigo vilivyopo sokoni na kuwapa wateja thamani ya pesa zao katika kila huduma.

  Ujanja Ni ilizinduliwa lini?

Kampeni hii ilizinduliwa rasmi Januari 2020

  Je, huduma hii itapatikana kwenye menyu zote?

Ndio,mabadiliko haya yatapatikana kenye chaneli zote (*147*00#, 148*00#, 148*01#, *150*01# na tovuti ya Tigo, App ya Tigo Pesa na mtandaoni.

  Nini kitatokea kwenye Ofa ya SAIZI YAKO, je UJANJA NI itabadili kabisa ofa hii?

Ofa itaendelea kuwepo lakini kutakuwa na ofa bora zaidi zenye thamani ya pesa kwa mteja.

  Naweza kununua kwa kutumia Tigo Pesa?

Yes,Ndio mteja anaweza kupata huduma hii kwa njia ya salio la kawaida au kwa Tigo Pesa

  Nini kipya katika kampeni hii?

Menyu iliyorahisishwa na vifurushi vinavyompa mteja thamani ya pesa yake.Pia, chaneli zote za *147*00#, 148*00#, 148*01#, *150*01# tovuti na App ya Tigo Pesa zitakuwa na huduma zinazofanana.

  Je, ntaweza kupata menyu mpya na ofa zote nikiwa mikoani?

Ndio, menyu mpya itapatikana mahali popote Tanzania.

  Je, ofa zitabadilika kulingana na mahali nilipo?

Hapana, ofa hizi hazitabadilika kulingana na mahali, ofa ni kwaajili yako na zitapatikana mahali popote Tanzania.

  Je, siwezi kupata ofa nilizokuwa nikizipata kwenye menyu nyingine.

Tumeboresha menyu zetu ili kuwapa wateja huduma bora na zinazopatikana kwa urahisi kupitia njia rahisi na za haraka.Kwa sasa utaweza kupata huduma zote kwa kupiga (*147*00#, 148*00#, 148*01#, *150*01#) na tovuti ya Tigo , App ya Tigo Pesa na mtandao.


Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo