Vifaa | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Kitochi

Vifaa

Mtengenezaji

Uunganishwaji
Mipaka ya Bei

Huawei y6 prime

Huawei y6 prime

289,999 TZS

Jua Zaidi
Huawei y5 lite

Huawei y5 lite

199,999 TZS

Jua Zaidi
Nokia c2

Nokia c2

199,000 TZS

Jua Zaidi
Nokia c1

Nokia c1

165,000 TZS

Jua Zaidi
Samsung s20 ultra

Samsung s20 ultra

3,100,000 TZS

Jua Zaidi
Tecnl spark5

Tecnl spark5

333,000 TZS

Jua Zaidi
Tecnl LC6

Tecnl LC6

209,999 TZS

Jua Zaidi
Samsung s20

Samsung s20

2,235,000 TZS

Jua Zaidi
Samsung note 10 lite

Samsung note 10 lite

1,499,999 TZS

Jua Zaidi
Samsung M11

Samsung M11

449,999 TZS

Jua Zaidi
Samsung A71

Samsung A71

1,150,000 TZS

Jua Zaidi
Samsung A51

Samsung A51

835,000 TZS

Jua Zaidi
Samsung A21

Samsung A21

555,000 TZS

Jua Zaidi
Samsung a11

Samsung a11

379,999 TZS

Jua Zaidi
Samsung A01

Samsung A01

295,000 TZS

Jua Zaidi

Maswali na Majibu ( Ofa ya miezi 12 )

  Ninapata ofa gani katika ofa ya Miezi 12?

Tigo inampatia mteja ofa hadi GB 78 za Intaneti za kutumia hadi miezi 12 BURE ununuapo simujanja kwenye maduka ya Tigo au, mawakala wa Tigo nchi nzima.

  Nani anaweza kupata ofa hii?

1. Ofa ni maalum kwa mteja atakaenunua simu mpya kutoka maduka ya Tigo au mawakala wa Tigo nchi nzima

2. Ofa hizi ni kwa wateja wa malipo ya kabla pekee

  Kuna vigezo gani vya kuniwezesha kupata ofa hii?

1. Mteja atapata Intaneti ya BURE ndani ya muda wa dakika 30 baada ya kununua simu

2. Ikitokea mfumo haujaweza kutoa Ofa ya kwanza ndani ya dakika 30, basi mteja atapata ofa ndani ya saa 24

3. Mara ya kwanza mteja atahitaji kuwa na namba yake ya simu iliyosajiliwa na kununua simu mpya kutoka Tigo

4. GB anazopata mteja kila mwezi zinadumu kwa siku 14, mteja atapata ofa nyingine siku ya 30 ya kila mwezi kila baada ya kuweka muda wa maongezi wa Tsh. 1,000

5. Kuanzia mwezi wa pili hadi mwezi wa 12, mteja atatakiwa kununua muda wa maongezi wa kima cha chini kuanzia shilingi 1,000Tsh ili kupata ofa

6. Ofa zinatofautiana kulingana na aina ya simu na bei ya simu

7. Ikiwa namba hiyo hiyo ya mteja imenunua simu mpya ndani ya Miezi 12 baada ya kupata ofa ya kwanza, hataweza pata ofa mpya hadi ofa ya kwanza imalize mzunguko wa miezi 12

  Jinsi gani naweza kupata Ofa ya BURE? 

1.    Tembelea duka lolote la Tigo au kwa wakala wa Tigo kununua kifaa chako

2.    Unaweza kununua simu za Tigo kwa fedha taslim au kwa Tigo Pesa kwa kubonyeza *147*00# kisha namba 6 chagua duka la simu

Maswali na Majibu ( Ofa ya miezi 6 )

  Ninapata ofa gani katika ofa ya Miezi 6?

Tigo inakupatia ofa hadi GB 18 za Intaneti za kutumia hadi miezi 6 BURE ununuapo simujanja kwenye maduka yetu yaliyopo nchi nzima au kwa mawakala wetu.

  Jinsi gani naweza kupata Ofa ya BURE? 

1.    Tembelea duka lolote la Tigo au kwa wakala wa Tigo kununua kifaa chako

2.    Unaweza kununua simu za Tigo kwa fedha taslim au kwa Tigo Pesa kwa kubonyeza *147*00# kisha namba 6 chagua duka la simu

  Nani anaweza kupata ofa hii?

1. Ofa ni maalum kwa mteja atakaenunua simu mpya kutoka maduka ya Tigo au mawakala wa Tigo nchi nzima

2. Ofa hizi ni kwa wateja wa malipo ya kabla pekee

  Kuna vigezo gani vya kuniwezesha kupata ofa hii?

1. Mteja atapata Intaneti ya BURE ndani ya muda wa dakika 30 baada ya kununua simu

2. Ikitokea mfumo haujaweza kutoa Ofa ya kwanza ndani ya dakika 30, basi mteja atapata ofa ndani ya saa 24

3. Mara ya kwanza mteja atahitaji kuwa na namba yake ya simu iliyosajiliwa na kununua simu mpya kutoka Tigo

4. GB anazopata mteja kila mwezi zinadumu kwa siku 14, mteja atapata ofa nyingine siku ya 30 ya kila mwezi kila baada ya kuweka muda wa maongezi wa Tsh. 1,000

5. Kuanzia mwezi wa pili hadi mwezi wa 6, mteja atatakiwa kununua muda wa maongezi wa kima cha chini kuanzia shilingi 1,000Tsh ili kupata ofa

6. Ofa zinatofautiana kulingana na aina ya simu na bei ya simu

7. Ikiwa namba hiyo hiyo ya mteja imenunua simu mpya ndani ya Miezi 12 baada ya kupata ofa ya kwanza, hataweza pata ofa mpya hadi ofa ya kwanza imalize mzunguko wa miezi 6

Maswali na Majibu ( Kitochi 4G Smart )

  Kuna ofa gani za Kitochi Smart 4G ninazoweza kupata?

Tigo inakupatia ofa ya Facebook BURE kwa miezi 6 BURE ununuapo simujanja ya Kitochi kwenye maduka ya Tigo au Mawakala wa Tigo nchi nzima.

  Jinsi gani naweza kupata Ofa ya BURE? 

1.    Tembelea duka lolote la Tigo au kwa wakala wa Tigo kununua kifaa chako

2.    Unaweza kununua simu za Tigo kwa fedha taslim au kwa Tigo Pesa kwa kubonyeza *147*00# kisha namba 6 chagua duka la simu

  Nani anaweza kupata ofa hii?

1. Ofa ni maalum kwa mteja atakaenunua simu mpya kutoka maduka ya Tigo au mawakala wa Tigo nchi nzima

2. Ofa hizi ni kwa wateja wa malipo ya kabla pekee

  Kuna vigezo gani vya kuniwezesha kupata ofa hii?

1. Mteja atapata Intaneti ya BURE ndani ya muda wa dakika 30 baada ya kununua simu

2. Ikitokea mfumo haujaweza kutoa Ofa ya kwanza ndani ya dakika 30, basi mteja atapata ofa ndani ya saa 24

3. Mara ya kwanza mteja atahitaji kuwa na namba yake ya simu iliyosajiliwa na kununua simu mpya kutoka Tigo

4. Ofa ni kwa ajili ya kutumia kwenye mtandao wa facebook pekee

5. Kuanzia mwezi wa pili hadi mwezi wa 6, mteja atatakiwa kununua muda wa maongezi wa kima cha chini kuanzia shilingi 1,000Tsh ili kupata ofa

6. Ofa zinatofautiana kulingana na aina ya simu na bei ya simu

7. Ikiwa namba hiyo hiyo ya mteja imenunua simu mpya ndani ya Miezi 12 baada ya kupata ofa ya kwanza, hataweza pata ofa mpya hadi ofa ya kwanza imalize mzunguko wa miezi 6

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo