Tigo kwenda Mitandao Mingine | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Vifurushi Vya Combo

Vifurushi Vya Combo

Vifurushi Vya Siku

Bei Jumla ya Dakika Dakika (Mitandao Yote) Dakika za Usiku (10pm-6am) SMS DATA Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 1,000 25 15 10 20 150 MB MASAA 24  Nunua Sasa
TZS 2,000 120 95 25 20 1 GB  MASAA 24  Nunua Sasa

Vifurushi Vya Wiki

Bei Jumla ya Dakika Dakika (Mitandao Yote) Dakika za Usiku SMS DATA Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 3,000 120 80 40 100 1 GB SIKU 7  Nunua Sasa
TZS 5,000 250 150 100 100 2 GB SIKU 7  Nunua Sasa

Vifurushi Vya Mwezi

Bei Jumla ya Dakika Dakika (Mitandao Yote) Dakika za Usiku SMS DATA Muda wa Kudumu Kitendo
TZS 10,000 550 300 250 500 3.5 GB SIKU 30  Nunua Sasa
TZS 20,000 1500 900 600 500 9 GB SIKU 30  Nunua Sasa

All rates are tax inclusive.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Combo

 • 1 Ustahiki:
  • Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Combo
  • Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
 • 2Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

  Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

 • 3 Kumnunulia rafiki:

  Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Combo wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

 • 4 Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

  Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

 • 5 Njia za Malipo:

  Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
  Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

 • 6 Muda wa Kifurushi:

  Kila kifurushi cha Combo kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

 • 7 Kubeba salio la Kifurushi:

  Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia.

 • 8 Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi:

  Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Combo→ chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
  Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
  Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
  Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

 • 9 Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Combo:

  Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

 • 10 Matumizi ya salio la Combo ndani na Nje ya Mtandao:

  Mteja anaweza kutumia dakika au SMS zilizopo kwenye kifurushi cha Combo ndani ya mtandao au mitandao mingine nchini

 • 11 Matumizi ya huduma nyingine:

  Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya Combo.

 • 12 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Combo kwa ajili ya Roaming au huduma za simu za Kimataifa na SMS:

  Vifurushi vya Combo hutumika kwa matumizi ya kupiga simu ndani ya mtandao na mitandao mingine, kuperuzi kurasa za intaneti au kutuma sms ndani nchini Tanzania pekee na si kwa matumizi ya Roaming, kupiga Simu au SMS za Kimataifa

 • 13 Dakika zinazotolewa zinaweza kutumika wakati wowote wa siku isipokuwa Dakika za USIKU zinatumika kuanzia Saa 4:00 Usiku hadi Saa 12:00 Alfajiri tu.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Combo

  Je, ni vegezo gani vya kuniwezesha kununua vifurushi vya Tigo?

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Combo
- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Combo wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Ni njia zipi za malipo naweza kutumia?

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha Combo kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Hapana, Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Huduma hii itazinduliwa hivi karibuni, wateja watataarifiwa

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi?

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Combo → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Ni kwa jinsi gani naweza kuangalia salio la vifurushi vya Combo?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, naweza kutumia salio la vifurushi cha Combo ndani na Nje ya Mtandao?

Ndio, Mteja anaweza kutumia Combo au SMS zilizopo kwenye kifurushi cha Combo ndani ya mtandao au mitandao mingine nchini

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Combo kwa ajili ya Roaming au huduma za simu za Kimataifa na SMS?

Hapana, Vifurushi vya Combo hutumika kwa matumizi ya kupiga simu ndani ya mtandao na mitandao mingine, kuperuzi kurasa za Combo au kutuma sms ndani nchini Tanzania pekee na si kwa matumizi ya Roaming, kupiga Simu au SMS za Kimataifa 

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo