Vifurushi vya Intaneti | Tigo Tanzania


Vifurushi vya Intaneti


Vifurushi vya Intaneti

Tigo ina mtandao wa 4G kubwa na yenye kasi kuliko zote, Tanzania. Ikiwa na kasi mara tano zaidi ya 3G kwa bei ile ile, kwa nini usihamie 4G? Achana na usumbufu wa video kukatikakatika ukiwa unaziangalia kwa intaneti, au mafaili kushindwa kupakuliwa na simu za skype kukatika. Maisha ni bora ziadi na 4G.

Vifurushi vya Siku

Bei Viwango Muda wa kudumu Kitendo
500 MB 70 Masaa 24  Nunua Sasa
1,000 MB 200 Masaa 24  Nunua Sasa
2,000 GB 1 Masaa 24  Nunua Sasa

 

Vifurushi vya Wiki

Bei Viwango Muda wa Kudumu Nyongeza Kitendo
3,000 MB 500 Siku 7    Nunua Sasa
8,000 GB 2 Siku 7 Social Bure (Facebook, Twitter,WhatsApp & Instagram)  Nunua Sasa
15,000 GB 10 Siku 7 Social Bure (Facebook, Twitter,WhatsApp & Instagram)  Nunua Sasa

 

Pima Utumiaji wa Data

Vifurushi vya Mwezi 

Bei Viwango Muda wa kudumu Nyongeza Kitendo
5,000 MB 500 Siku 30    Nunua Sasa
15,000 GB 2 Siku 30 Social Bure (Facebook, Twitter,WhatsApp & Instagram)  Nunua Sasa
35,000 GB 10 Siku 30 Social Bure (Facebook, Twitter,WhatsApp & Instagram)  Nunua Sasa
50,000 GB 20 Siku 30 Social Bure (Facebook, Twitter,WhatsApp & Instagram)  Nunua Sasa

 

Social Pack  (Facebook, Twitter,WhatsApp & Instagram)

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
1,500 MB 500 Masaa 24  Nunua Sasa
3,000 GB 1.5 Siku 7  Nunua Sasa
8,000 GB 5 Siku 30  Nunua Sasa

 

Youtube

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
1,000 GB 1 Masaa 24  Nunua Sasa

 

Bei zinajumuisha kodi ya ongezeko la thamani.

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo