Vifurushi Vya Intanet | Tigo Tanzania


Vifurushi vya Intaneti


Vifurushi vya Intaneti

Tigo ina mtandao wa 4G kubwa na yenye kasi kuliko zote, Tanzania. Ikiwa na kasi mara tano zaidi ya 3G kwa bei ile ile, kwa nini usihamie 4G? Achana na usumbufu wa video kukatikakatika ukiwa unaziangalia kwa intaneti, au mafaili kushindwa kupakuliwa na simu za skype kukatika. Maisha ni bora ziadi na 4G.

Vifurushi Vya Siku

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
500 300 MB MASAA 24  Nunua Sasa
1,000 750 MB MASAA 24  Nunua Sasa
2,000 3 GB MASAA 24  Nunua Sasa

 

Vifurushi Vya Wiki

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
3,000 3 GB SIKU 7  Nunua Sasa
5,000 6 GB SIKU 7  Nunua Sasa
10,000 13 GB SIKU 7  Nunua Sasa
15,000 22 GB SIKU 7  Nunua Sasa

 

Vifurushi Vya Mwezi

Bei Viwango Muda wa Kudumu Kitendo
10,000 10 GB SIKU 30  Nunua Sasa
20,000 22 GB SIKU 30  Nunua Sasa
30,000 34 GB SIKU 30  Nunua Sasa
50,000 60 GB SIKU 30  Nunua Sasa

 


All rates are tax inclusive.
 

 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo