Vifurushi vya Intaneti vya Malipo ya Baada | Tigo Tanzania


Vifurushi vya Intaneti vya Malipo ya Baada


Vifurushi vya Intaneti vya Malipo ya Baada

Vifurushi vya Tigo vya intaneti vya malipo ya baada vinajumuisha intaneti ya 3G na 4G kwa bei ile ile moja. Vifurushi vya intaneti vya malipo ya baada vinapatikana kwa mtu binafsi pamoja NA makampuni. Unachohitaji ili kutumia intaneti ya kasi na kubwa kuliko zote Tanzania ni modemu ya 4G au simu yenye uwezo wa 4G. Maisha ni bora zaidi na 4G.

Ofa ya Data Mara Mbili

Pata data mara mbili ukijiunga na kifurushi chochote cha tiGO biashara chenye thamani ya kuanzia 25,000 na zaidi.

Jinsi ya kupata ofa hii

Kupata ofa hii, jaza fomuya kielektroniki hapo chini na mtu wa timu ya mauzo atawasiliana na wewe. Pia unaweza kupiga namba yetu maalumu kwa huduma kwa wateja kwenye namba 090165200 

Vifurushi vya Intaneti ya 3G/4G ya Postpaid Pima Utumiaji wa Intaneti

Bei Intaneti (3G/4G) Ziada Jumla
TZS 2,000 MB 100 MB 100
TZS 6,000 MB 500 - MB 500
TZS 10,000 GB 1 - GB 1
TZS 15,000 GB 2 - GB 2
TZS 20,000 GB 3 - GB 3
TZS 25,000 GB 5 GB 5 GB 10
TZS 30,000 GB 10 GB 10 GB 20
TZS 35,000 GB 15 GB 15 GB 30
TZS 50,000 GB 20 GB 20 GB 40
TZS 100,000 GB 50 GB 50 GB 100
TZS 150,000 GB 75 GB 75 GB 150
TZS 230,000 GB 100 GB 100 GB 200

Bei zinajumuisha bei la ongezeko la thamani. 

Vifurushi vyote vinadumu kwa siku 31

Wasiliana na Tigo kuunganisha na akaunti ya malipo ya baada

Sehemu zenye alama * lazima zijazwe

Kama unawakilisha kampuni

Maswali ya Mara kwa Mara kuhusu akaunti za malipo ya baada

Maswali ya Mara kwa Mara kuhusu akaunti za malipo ya baada Soma Maswali ya Mara kwa Mara

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo