Vifurushi vya Kimataifa | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..

Vifurushi vya Kimataifa

Vifurushi vya Kimataifa

Kama una ndugu, marafiki au wafanyabiashara waliopo nje ya nchi, okoa pesa yako na vifurushi vyetu vya kimataifa.

ILD World Pack(Nchi 7)

Bei Dakika Muda wa Kudumu Kitendo
1,000 20 Masaa 24    Nunua Sasa
3,000 70 Siku 7    Nunua Sasa
10,000 250 Siku 30   Nunua Sasa

Nchi za Kupiga: 

India, Uingereza, Marekani, Kanada, China, Ujerumani, Hong Kong

ILD Bundle - Africa Pack(Nchi 17 )

Bei Dakika Muda wa kudumu Kitendo
3,000 4 Masaa 24    Nunua Sasa
5,000 8 Siku 7   Nunua Sasa
10,000 20 Siku 30    Nunua Sasa
20,000 42 Siku 30   Nunua Sasa

Nchi za kupiga: 

Afrika Mashariki: Kenya, Uganda, Rwanda, DRC, Mozambique, Burundi

Kusini mwa Afrika: Afrika Kusini, Zambia, Malawi, Botswana, Zimbabwe

Afrika Magharibi: Nigeria, Ghana, Cameroon, Senegal, Ivory Coast

Afrika Kaskazini: Misri

ILD Bundle - Arabic Pack(Nchi 7)

Bei Dakika Muda wa kudumu Kitendo
3,000 4 Masaa 24   Nunua Sasa
5,000 8 Siku 7   Nunua Sasa
10,000 18 Siku 30   Nunua Sasa
20,000 42 Siku 30   Nunua Sasa

Nchi za Kupiga:
 
UAE, Yemen, Pakistan, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon, Oman

 VIWANGO VYA KUPIGA SIMU NCHI NYINGINE  - MALIPO YA KABLA 

Kundi  Gharama (Tsh/Sekunde) Nchi
Kundi Namba 1 12 China,India,USA,Canada
Kundi Namba 2 17 Kenya, Angola,South Africa, Nigeria, Botswana ,Ghana, Ethiopia 
Kundi Namba 3 17 Lebanon, Israel, Spain, UAE, UK Mobile, UK fixed
Kundi Namba 4 20 Sweden, Hong Kong, Pakistan, Yemen, Philippines, Saudi Arabia, Netherlands, Japan, Malaysia, Norway, Ireland
Kundi Namba 5 30 Australia, Nepal, Turkey, Russia, Comoros, Uganda, Rwanda, France, Denmark, Italy, Oman, Germany
Kundi Namba 6 42 Rest of the world
Kundi Namba 7 42 Cuba, DRC, Burundi, Zimbabwe, Mozambique, Switzerland, Malawi, Zambia
Kundi Namba 8 330 All satellite networks

Bei zinajumuisha kodi ya ongezeko la thamani.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Kimataifa

 • 1 Ustahiki:
  • Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Kimataifa
  • Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
 • 2Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

  Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

 • 3 Kumnunulia rafiki:

  Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Kimataifa wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

 • 4 Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

  Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

 • 5 Njia za Malipo:

  Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
  Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

 • 6 Muda wa Kifurushi:

  Kila kifurushi cha Kimataifa kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

 • 7 Kubeba salio la Kifurushi:

  Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia.

 • 8 Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi vya Kimataifa:

  Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Kimataifa → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
  Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
  Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
  Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

 • 9 Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Kimataifa:

  Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

 • 10 Nchi zinazotumika katika vifurushi vya International :

  Kila kifurushi cha Kimataifa kina nchi zilizosajiliwa kwa ajili ya kifurushi husika. Kwa mfano:

  Nchi za Kifurushi cha World: India, USA, Canada, China, Hong Kong, Germany, UK, Ireland, Norway and France

  Nchi za Kifurushi cha Africa: East Africa, Egypt, Zambia, South Africa, Malawi, Botswana, Zimbabwe, Nigeria, Ghana, Cameroon, Senegal, Ivory Coast, Angola, Ethiopia and Somalia

  Nchi za Kifurushi cha Arabic: UAE, Yemen, Pakistan, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon and Oman

 • 11 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Kimataifa kwa ajili ya Matumizi ya huduma za Landline:

  Vifurushi vya Kimataifa hutumika kwa matumizi huduma simu za mkononi katika nchi husika zilizotajwa katika vifurushi hivyo na si kwa matumizi ya huduma za Landline.

 • 12 Matumizi ya salio la Kifurushi cha Kimataifa ndani na Nje ya Mtandao :

  Mteja hawezi kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Kimataifa kwa kupiga ndani ya mtandao au mitandao mingine. Salio la kifurushi cha kimataifa hutumika kwa matumizi ya simu za Kimataifa pekee.

 • 13 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Kimataifa kwa ajili ya Roaming :

  Vifurushi vya Kimataifa hutumika kwa matumizi ya Simu za Kimataifa na si kwa matumizi ya Roaming.

 • 14 Matumizi ya huduma nyingine:

  Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya Kimataifa .

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Kimataifa

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Ndio, Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Kimataifa wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Ni njia zipi za malipo naweza kutumia?

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha Kimataifa kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Hapana, Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Huduma hii itazinduliwa hivi karibuni, wateja watataarifiwa

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi?

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Kimataifa → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa, au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Ni kwa jinsi gani naweza kuangalia salio la vifurushi vya Kimataifa?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, ni Nchi gani zinazotumika katika vifurushi vya Kimataifa?

Kila kifurushi cha Kimataifa kina nchi zilizosajiliwa kwa ajili ya kifurushi husika. Kwa mfano:
Nchi za Kifurushi cha World: India, USA, Canada, China, Hong Kong, Germany, UK, Ireland, Norway and France
Nchi za Kifurushi cha Africa: East Africa, Egypt, Zambia, South Africa, Malawi, Botswana, Zimbabwe, Nigeria, Ghana, Cameroon, Senegal, Ivory Coast, Angola, Ethiopia and Somalia
Nchi za Kifurushi cha Arabic: UAE, Yemen, Pakistan, Saudi Arabia, Qatar, Lebanon and Oman

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Kimataifa kwa ajili ya Matumizi ya huduma za Landline?

Hapana, Vifurushi vya Kimataifa hutumika kwa matumizi huduma simu za mkononi katika nchi husika zilizotajwa katika vifurushi hivyo na si kwa matumizi ya huduma za Landline.

  Je, naweza kutumia Salio la Kifurushi cha Kimataifa ndani na Nje ya Mtandao?

Hapana, Mteja hawezi kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Kimataifa kwa kupiga ndani ya mtandao au mitandao mingine. Salio la kifurushi cha kimataifa hutumika kwa matumizi ya simu za Kimataifa pekee.

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Kimataifa kwa ajili ya Roaming?

Hapana, Vifurushi vya Kimataifa hutumika kwa matumizi ya Simu za Kimataifa na si kwa matumizi ya Roaming

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Ndio, Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo