Tigo kwenda Tigo | Tigo Tanzania
Tafadhali zingatia kanuni za afya nawa mikono na epuka misongamano na endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa Zaidi..


Vifurushi Vya Dakika


Vifurushi Vya Dakika

Vifurushi Vya Siku

Bei   Jumla ya dakika Dakika (Mitandao Yote) Dakika za Usiku (10pm-6am) SMS Muda wa kudumu Kitendo
TZS 500 20 15 5 50 Masaa 24  Nunua Sasa
TZS 1,000 85 50 35 50  Masaa 24  Nunua Sasa
TZS 2,000 200 160 40 50  Masaa 24  Nunua Sasa

 

Vifurushi Vya Wiki

Bei  Jumla ya dakika Dakika (Mitandao Yote) Dakika za Usiku SMS Muda wa kudumu Kitendo
TZS 3,000 220 150 70 100 SIKU 7   Nunua Sasa
TZS 5,000 500 300 200 100 SIKU 7  Nunua Sasa
TZS 10,000 1100 700 400 100 SIKU 7  Nunua Sasa
TZS 15,000 1700 1200 500 100 SIKU 7  Nunua Sasa

  

Vifurushi Vya Mwezi

BEI   Jumla ya dakika Dakika (Mitandao Yote) Dakika za Usiku SMS Muda wa kudumu Kitendo
TZS 10,000 1150 600 500 500 SIKU 30  Nunua Sasa
TZS 20,000 2500 1500 1000 500 SIKU 30  Nunua Sasa
TZS 30,000 4000 2500 1500 500 SIKU 30  Nunua Sasa
TZS 50,000 7000 4500 2500 500 SIKU 30  Nunua Sasa

  

All rates are tax inclusive.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Dakika

 • 1 Ustahiki:
  • Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Dakika
  • Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu
 • 2Ununuzi wa vifurushi zaidi ya maramoja:

  Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

 • 3 Kumnunulia rafiki:

  Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Dakika wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

 • 4 Kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine:

  Kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

 • 5 Njia za Malipo:

  Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
  Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

 • 6 Muda wa Kifurushi:

  Kila kifurushi cha Dakika kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia

 • 7 Kubeba salio la Kifurushi:

  Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia.

 • 8 Mfumo / Jinsi ya kununua vifurushi:

  Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Dakika → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
  Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
  Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
  Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

 • 9 Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Dakika:

  Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi

 • 10 Matumizi ya salio la Dakika ndani na Nje ya Mtandao:

  Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Dakika kupiga simu ndani ya mtandao au mitandao mingine

 • 11 Matumizi ya huduma nyingine:

  Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga na kifurushi au vifurushi vya dakika.

 • 12 Matumizi ya Salio la vifurushi vya Dakika kwa ajili ya Roaming au huduma za simu za Kimataifa na SMS:

  Vifurushi vya Dakika hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao na mitandao mingine ndani ya nchi tu na si kwa matumizi ya Roaming au Simu au SMS za Kimataifa

 • 13 Dakika zinazotolewa zinaweza kutumika wakati wowote wa siku isipokuwa Dakika za USIKU zinatumika kuanzia Saa 4:00 Usiku hadi Saa 12:00 Alfajiri tu.

Vigezo na Masharti ya Vifurushi vya Dakika

  Je, ni vegezo gani vya kuniwezesha kununua vifurushi vya Tigo?

- Wateja wote wa Tigo wa malipo ya kabla wanaruhusiwa kununua vifurushi vya Dakika
- Vifurushi vya Tigo vinaweza kununuliwa kwa Line ya Simu ya Tigo iliyosajiliwa tu

  Je, naweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja?

Ndio, Mteja anaweza kununua vifurushi zaidi ya maramoja kwa siku.

  Je, naweza kumnunulia rafiki?

Ndio, Mteja anaweza kumnunulia rafiki kifurushi chochote cha Dakika wakati wowote kwa siku NA anaweza kumnunulia kifurushi zaidi ya kimoja / mara moja kwa siku isipokuwa ofa maalum kupitia menyu ya Saizi Yako

  Je, naweza kugawa salio la kifurushi kwa mtu mwingine?

Hapana, kwa sasa Mteja hawezi kumgawia mtu mwingine salio la kifurushi ambacho amekinunua. Kumnunulia kifurushi rafiki, Mteja anatakiwa kufuata hatua maalum za kumnunulia rafiki kifurushi kingine.

  Ni njia zipi za malipo naweza kutumia?

Zipo njia mbili za malipo ambazo Mteja anaweza kutumia wakati wa kununua kifurushi. 1. Kutumia Salio kuu 2. Tigo Pesa.
Njia hizi Mteja hupatiwa kulingana na mfumo wa huduma zaliochagua kwa mfano, Kupitia Menyu ya kawaida kama *147*00# na Tovuti ya Tigo Mteja anaweza kuchagua kununua kifurushi kupitia Salio la kuu au Salio la Tigo Pesa. Endapo Mteja atatumia njia ya kununua kwa kupitia App ya Tigo Pesa au Menyu ya USSD ya Tigopesa ya *150*01# basi Mteja ataweza kununua vifurushi kwa salio la Tigo Pesa Pekee.

  Je, Kifurushi kina muda gani?

Kila kifurushi cha Dakika kina muda wake wa kudumu na salio la kifurushi kilichonunuliwa hudumu katika muda huo uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia 

  Je, naweza kubeba salio la Kifurushi?

Hapana, Mteja hawezi kubeba salio la kirufushi kilichoisha muda wake. Hivyo Mteja anashauriwa kutumia salio la kifurushi chake alichonunua ndani muda wa kifurushi uliowekwa. Hii tumeiweka wazi kwa kila kifurushi katika Menyu zetu za huduma na huwekwa bayana pia kabla mteja hajafanya manunuzi au kulipia
Huduma hii itazinduliwa hivi karibuni, wateja watataarifiwa

  Ni kwa jinsi gani naweza kununua vifurushi?

Piga *147*00# → chagua Muda wa kifurushi → chagua Dakika → chagua njia ya malipo → Mteja atapokea ujumbe wa uthibitishi wa manunuzi ya kifurushi au
Kupitia tovuti yetu hii ya Tigo (www.tigowebsite.co.tz) au
Kupitia App ya Tigo Pesa au Tigopesa Menyu ya *150*01# au
Kupitia timu ya Mauzo ya Tigo

  Jinsi ya kuangalia salio la vifurushi vya Dakika?

Piga *102*00# kisha utapokea ujumbe wenye salio la kifurushi 

  Je, naweza kutumia salio la Dakika ndani na Nje ya Mtandao?

Ndio, Mteja anaweza kutumia salio lililopo kwenye kifurushi cha Dakika kupiga simu ndani ya mtandao na mitandao mingine 

  Je, naweza kutumia Salio la vifurushi vya Dakika kwa ajili ya Roaming au huduma za simu za Kimataifa na SMS?

Hapana, Vifurushi vya Dakika hutumika kwa matumizi wa ndani ya mtandao na mitandao mingine ndani ya nchi tu na si kwa matumizi ya Roaming au Simu au SMS za Kimataifa 

  Je, naweza kutumia huduma nyingine ninapokuwa nimejiunga na vufurushi?

Mteja hazuiliwi kutumia au kujiunga na huduma nyingine anapokua amejiunga kwenye kifurushi

 
 

Jiunge kupata majarida yetu ya kila mwezi

Tafuta duka la Tigo